Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.

Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......

Igoloo.
Mkuu usiendeshwe na fikra za mtu. Usiaxhe kuangalia vipindi uvipendavyo eti kisa utaitwa mshamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom