Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.

Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......

Igoloo.
Huyo ni muha halisi na wala sio kuigiza tu, acheni kufananisha kabila kubwa na mambo ya ajabu jamani
 
Sikai kuwa united sio club kubwa ni kubwa lakni sahivi ubora wa city united anaonekana Swansea ndyo maana alitandikwa OT
Mawazo ya mtanzania hayo sijawahi kusikia wachambuz nguli duniani wakiongea hivyo

Pale unapozidisha mahaba ni haki yako

Ila epl timu bora kwangu ni liverpool kikos si cha gharama ila ukianza kushambuliwa utaimba city big noooo
 
Mawazo ya mtanzania hayo sijawahi kusikia wachambuz nguli duniani wakiongea hivyo

Pale unapozidisha mahaba ni haki yako

Ila epl timu bora kwangu ni liverpool kikos si cha gharama ila ukianza kushambuliwa utaimba city big noooo
Ubora wake ni kumfunga city?

Ubora upi ikiwa huongozi league?

Kwani Liverpool ameanza kwa man city kuzinyanyasha team za top four?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom