HUYU BOSS KANIARIBIA SIKU

HUYU BOSS KANIARIBIA SIKU

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
885
Reaction score
583
Ndio natoka kummalizia kulima shamba lake,cha kushangaza nimefika nyumbani .kwake sijamkuta,na mimi niliku nahitaji hela nikajiandalie sikukuu, sasa wapendwa naomba mnikopeshe 15,000,nitaludisha hata kwa riba.
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Pole sana Chukua hiyo Chenji baki nayo na usirudishe
IMG-20171225-WA0112.jpg
 
Attachments

  • IMG-20171225-WA0112.jpg
    IMG-20171225-WA0112.jpg
    26.5 KB · Views: 40
Ndio natoka kummalizia kulima shamba lake,cha kushangaza nimefika nyumbani .kwake sijamkuta,na mimi niliku nahitaji hela nikajiandalie sikukuu, sasa wapendwa naomba mnikopeshe 15,000,nitaludisha hata kwa riba.
NATANGULIZA SHUKRANI
Khaaaaaa, halafu iweje mkuu?
 
Weka namba yako ya simu tumwambie mambosasa akutumie
 
Mwalimu wako wa Kiswahili darasa la TATU
Hana maana kabisa.
Aliruhusuje uendelee la Nne kwa uandishi huu?

Aibuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom