Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,712 Reaction score 128,394 Sep 30, 2017 #21 Zeus1 said: Ndo hivyo,ukimwangalia kipindi kile na jinsi alivyo now,yani ujue ww mwenyewe umekua sana. Click to expand... Hahahaaaaa. Kweli kabisa
Zeus1 said: Ndo hivyo,ukimwangalia kipindi kile na jinsi alivyo now,yani ujue ww mwenyewe umekua sana. Click to expand... Hahahaaaaa. Kweli kabisa
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,332 Reaction score 9,542 Sep 30, 2017 #22 emmyta said: Hahahaaaaa. Kweli kabisa Click to expand... Hahaha,yani so now ndo mda wa kukamilisha ndoto ambazo mtu ulikuwa nazo aisee
emmyta said: Hahahaaaaa. Kweli kabisa Click to expand... Hahaha,yani so now ndo mda wa kukamilisha ndoto ambazo mtu ulikuwa nazo aisee
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,712 Reaction score 128,394 Sep 30, 2017 #23 Zeus1 said: Hahaha,yani so now ndo mda wa kukamilisha ndoto ambazo mtu ulikuwa nazo aisee Click to expand... Hahaaa. Na kama sio kukamilisha basi hata kukaribia kukamilisha maana siku zote umri huwa hausubiri.
Zeus1 said: Hahaha,yani so now ndo mda wa kukamilisha ndoto ambazo mtu ulikuwa nazo aisee Click to expand... Hahaaa. Na kama sio kukamilisha basi hata kukaribia kukamilisha maana siku zote umri huwa hausubiri.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,332 Reaction score 9,542 Sep 30, 2017 #24 emmyta said: Hahaaa. Na kama sio kukamilisha basi hata kukaribia kukamilisha maana siku zote umri huwa hausubiri. Click to expand... Yani kusema kweli we used to see mtu akiwa na 30 years ni mkubwa sana,but now naona kabisa very soon aiseee
emmyta said: Hahaaa. Na kama sio kukamilisha basi hata kukaribia kukamilisha maana siku zote umri huwa hausubiri. Click to expand... Yani kusema kweli we used to see mtu akiwa na 30 years ni mkubwa sana,but now naona kabisa very soon aiseee
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,667 Sep 30, 2017 #25 Retired said: Quite innocent by those days! Click to expand... Probably clean, too!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Sep 30, 2017 #26 Elizabeth Michael....duuh mambo ya TBT HAYO