Huyu binti ni mtoto wa nani?

Huyu binti ni mtoto wa nani?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Ningependa tuu kujua wakuu...
attachment.php
 
Mtoto kafurahi utakuwa ukumbusho mzuri sana kwake !!kwamba huwenda alipiga picha na marais wawili kama jamaa wa kushoto akiwa bado anania ya kugombea!!
 
Sijui ni mtoto wa nani? mmh! hiyo picture kama kaipata lazima aiwekee frame, tena ikae sitting room
 
mzazi chunga mwanao,mtoto wako wa mwenzio mkubwa mwenzio,wazee wa chalinze wameandamana kupinga uzee kuishia chalinze,chalinze wote mabebi...lol
 
Cheki mh Membe anavyomtamani huyo manzi.Kwa kweli huyo mtoto ni mzuri tuache na utani.Picha hiyo itakuwa ni sehemu ya kum-inspire kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom