Huyu binti ni mgonjwa?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????
 
Inawezekana kabisa kuwa ni mgonjwa, na ugonjwa wake unafanana kwa kila hali na rafiki yako muuza duka! Sijaelewa muuza duka anachanganywa na nini, kuwa naye anashindwa kuachana na kile alichokianza kwa hofu ya mkewe mtarajiwa au?

That is a very weak excuse ya rafiki yako coz alikuwa na nguvu ya kukataa na kumtimua huyo dada hapo dukani kwake. yeye 'baba huruma' akajitoa kupokea shukrani kwa namna iliyompendeza hata yeye. Si ajabu kwa jinsi alivyokuwa ameelemewa na huruma akasahau hata kujikinga, na matokeo ni kwenda kupeleka vya kupeleka kwa huyo mkewe mtarajiwa.
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

Eiyer:
I fail to understand the logic behind huyo jamaa yako..............................how can him cheating on his fiancee, be better than his fiancee finding out that alimpunguzia price ya nguo mteja? Amakweli wajinga ndio waliwao. Ila I do hope huyo mchumba is smart enough to realise/ call him out on this BS, if and when time comes!!!!
 
Uhovyo unakujaje?Kukubali shukran au??

Sasa unadhani???!Hana msimamo wala maamuzi yanayojitegemea ndio maana anajifanya msichana sijui ana matatizo!!!Mwenye matatizo ni yeye aliye na mchumba alafu anatembea na mtu mwingine!!Kwani hiyo asante ilikua lazima???
 
Uhovyo unakujaje?Kukubali shukran au??

huyo jamaa yako ni ovyo kwani ameonyesha alivyo malaya na asiyejiheshimu pia sio kweli km alishawishiwa ila tunachokiona yeye ndo alimtaka huyo mwanamke na hata nguo alimpa bure(
 
Kufanya mapenzi hata siku mmoja haiwezi kuwa ni zawadi kwa mtu yeyote yule.....wanandoa tu ndio wanaweza wakapeana zawadi ya namna hiyo.Huyo rafiki yako anasumbuliwa na ''umalaya...pia huyo binti ni kijini malaya''Ovyo kabisa.
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

Wewe ni Mzembe! Wala si jamaa yako. Ni wewe sasa unaowa ili iwe nini kama bado unataka kucheat?
 
Huyo jamaa yako nae mgonjwa, tena zaidi ya huyo binti, hana msimamo afu anaomba ushauri? Mwambie amwoe huyo binti cz wanaendana tabia!
 
Hukumtoa nduki?! Jamaa yako ni fuska la kutupwa, kama kweli binti kajitolea kutoa shukrani ya hivo na yeye ni changudoa. Mwambie jamaa yako amuoe huyo mtoa shukurani ili waendelee kupeana shukurani, asije akamletea huyo binti mwingine ukimwi bure.
 
hakuna cha rafiki ni wewe mwenyewe you are just confused because you r not responsible person

Usihofu seniorita sio mimi,ni ushauri natafuta kwaajili ya huyu jamaa,hata mimi pia nimemshangaa ndo maana natafuta ushauri namna ya kumsaidia wandugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom