Huyu binti haeleweki


huyu ndo itakuwa mchezo wake kabsaa.
 
Endapo atakubali uwe official ujue akipata mwingine atamwambia nina mtu kama wewe alivyokwambia lakini bado tunda akakupa. We huyo kula kimachale na wewe baadae mwambie una mtu. Ngoma droo.
 
Unapoingia kwenye mahusiano yoyote huwezi sema 'sitaki kuumia'
suala la kuumia ni probability always.....mapenzi ni 'ku take risks.'

!
!
team "heartless" hatuumiii......tunasema asante kwa uzoefu mwingine, life linasonga na nafasi inaachwa wazi kwa mtu mwingine.
 

!
!
kufunga mjadala kunaminya fursa
 
Endapo atakubali uwe official ujue akipata mwingine atamwambia nina mtu kama wewe alivyokwambia lakini bado tunda akakupa. We huyo kula kimachale na wewe baadae mwambie una mtu. Ngoma droo.

!
!
Nikimkuta ambae ataniambia hana mtu.......ntatoka nduki vibaya mno.
 
mkaushie kwa muda..akijilengesha komaa mwambie system yake imekushinda ....akikaza ...chapa lapa mdau....
 
aisee, endelea tu Ila ujue hajakubali....
 
hahahaaaa soo funny....
Gegedaneni itafahamika mbeleni....

pia itakuwa kajamaa unajituma ndo mana karudi tena
 
..mapenzi ya hivyo yamenipita kushoto... Kulala na mtu ilhali najua kabisa naiba, mmh!!
 
Aisee inaonesha weyee ni boxer mkononi eh???mara mbili nzima unajilia demu wa mwenzakoo???
 
kwa kweli hapo mi sijasoma kabisa!

hapo inamaana ya kwamba. demu huwa ni mistari yako tu unaweza ukafuta mawazo yake kwa mtu aliyemuwahi muda wowote. its just mautundu yako tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…