Huyu bibie simuelewi

Kwa hiyo ulim-block bila hata kumuuliza? Zamu yako sasa ku-b-iwa bila kuulizwa...
What goes around comes back around
 
Nilimuuliza baada ya kuonananae aka panic basi kila mtu akachukua 50% zake
 
Yaani wewe ulitema bigijii Kwa karanga za kuonjeshwa eeh, pole inaonesha huna msimamo pia ukiambiwa kitu hutafakari kwanza unachukua maamuzi tu.
 
Mkuu sikukurupuka hata tabia zake zilikua za ovyo saana
 
Kama aliweza kumzunguka rafk yake akatoka na wewe huwaz anawez kutka pia na rafk yao au mtu mwngne??kama ni fuckmate endelea nae ila kama unamalengo apo hamna kitu mkuu
 
Kweli mkuu 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…