Huyu bibie anaichezea Roho yake kweli...............

Huyu bibie anaichezea Roho yake kweli...............

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
556688_10151133239150658_690056516_n.png


Ana cheza na roho yake huyu ameshachoka kuishi nini?
 
labda akiipoteza hiyo roho ya sasa anayo nyingine ya spea...
 
anataka kuweka historia!!aingie kwenye kile kitabu chenye jina kama la bia!!
 
Hiyo gari ilipandaje huko juu na inaonekana imepaki mlangoni kabisa wakati ata kama ni gorofa zenye parking juu mara nyingi huwa ni nyuma.Acha kutuchezea akili utatusahaulisha chenji yetu ya rada.
 
Hiyo gari ilipandaje huko juu na inaonekana imepaki mlangoni kabisa wakati ata kama ni gorofa zenye parking juu mara nyingi huwa ni nyuma.Acha kutuchezea akili utatusahaulisha chenji yetu ya rada.
Mkuu HGYTXK unaulizia chenji ya Radaimeshaliwa na kpanya Mfisadi.. umelala wapi wewe?
kipanya-monday.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HGYTXK unaulizia chenji ya Radaimeshaliwa na kpanya Mfisadi.. umelala wapi wewe?
kipanya-monday.jpg

Du,ndio ninaamka muda huu,kumbe zilishaliwa du.Na hiyo mipanya yenyewe mbona minene hivyo?.Kama vp mm natoka Mtwara ni lazima niifanye mboga hiyo mopanya,
 
Back
Top Bottom