Huyu bibi CCM damu damu

Huyu bibi CCM damu damu

What you are now is how we used to be, what we are now is how you will be.

Hii yako naona kama ina ukwasi kidogo kwani it doesnt cover all the fields.I am 74 and in the oppostion now.Now you want to tell us your were in the opp.before while it was not existing au labda uelewa wangu ni mdogo
 
Pengine macho hayaoni kwa sababu ya uzee hajui hata kama amevalishwa hivyo hawa watu wataishia kufanya mambo ya kijinga na kushindwa kujua tuu barabara kuu ya Dar morogoro inastahili kua more than twolanes kutokana na matumizi yake
 
Hii yako naona kama ina ukwasi kidogo kwani it doesnt cover all the fields.I am 74 and in the oppostion now.Now you want to tell us your were in the opp.before while it was not existing au labda uelewa wangu ni mdogo

Mimi nilikuwa nafanya reference kwa ile post yako ya "hata yeye alikuwa kama sisi...." kwa maana yeye alikuwa kijana kama sisi na sisi tutakuwa wazee kama yeye". Sikuwa nafanya reference kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom