Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
YAK. 1:14‭-‬15 SUV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeandikwa usimtamani mke wa jirani yako wala mjakazi wake (mwanzo) kwa hiyo huyo ni wa kwako wewe tu mtafune
.
Unatuambia sisi wasifu wake unataka tumtamani tuvunje amri za Mungu.
Mtendee haki ila jiandae maelezo kwa mkeo. Hata beki tatu ni mtu kama mkeo sasa kazi ni kwako vodacom tupo nawe popote ulipo tupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana, hakuna mkate ufurukutao mbele ya chai
 
Mrs amemleta huyo ili awe anaku-intertain wakati yeye yuko job.anahofia usije enda kwa asiowajua bora zimwi likujualo halikuli likakwisha.si unaona yeye wala hana wasiwasi amempa hizo instruction
 
Story za kutunga hadithi za puka pakawa
Tz ya viwanda tutafika kweli kwa vijana kama wewe kifikiria hadithi za mbuchi tuuu fanyakazi jamaa yangu acha kuwaza ngono halafu unakuja kutungu uozo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhh mtoa mada act kama baba kwenye nyumba yako bwanaa
 
Kwa sauti ya makongoro nyerere.."sikaja mwenyewe kwenye cha ndimu..mpige dobo ukimaliza mvishe na kanzuu..si ametaka mwenyewe!"..mpige kachabali mkuu hakuna nyasi mbele ya ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kula ni halali yako.changanyia na mnafu kidogo pilipili kwa mbali alafu unippe mrejesho.mwenzako hapa nilipo nipo uhamishoni kwa kosa la kula beki tatu na wana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ana pacha wake kwani hii story ilishaletwa humu nadhani mwaka juzi same same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…