Huyu Beki 3 nimfanyeje?

mkuu usije kuwa umewekewa mtego! sasa kukusaidia ni in box namba yake nimfanyie u-CIA halafu nitakupa mrejesho
 
Tafuna.....baada ya wiki atakuambia haoni siku zake....utamtuma kwao Tanga kuzitafuta.
 
Ukiliamsha Dude tuu.! Maisha ya Ndoa yatakuwa magumu mno na ndo mwanzo wa utungu na kusaga meno, na Episode ya mwisho ni kuomba ushauri unusuri ndoa au uanze kusema mchepuko ni deal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tubadilishane na wakwangu,ana sura ya kazi,atakufaa
 
Mwambie tena wife huyu beki tatu nitambandua akiendelea kuniletea mitego....hapo atamtimua Kama akizidi mtetea mtimue wewe kama kweli wampenda mkeo...Ilan kama wife haelewi basi fukuza au mkumbushe beki tatu kuwa kaja kufanya kazi na sio kuwa mke wapili....hawa huwa wanajitegeshaga na vile hawapigwi msasa mara kwa mara ukimdunga tu sindano ujue mimba hapo hapo wana maajabu yao mabeki tatu hata uke ringi atakwambia ana mimba hata uvae ndomu nane atakwambia mimba yako...na ukimchenga beki tatu ndoa yako haimalizi mwaka nakwambia maana ushaanza kummezea mate unaweza mtimua mkeo beki3 akabaki alafu hawa wa TA huwa watalala up mno atakupa hata samaki nchanga ili ukae katika target kishaona hapo kuna maslahi....za kuambuwa changanya na za kwako...pia PUNGUZA KUANGALIA MAKALIO YA BEKI TATU...HUWA HATUACHI SALAMA
 
Amesema ndoa haina mwaka afu wana housegirl... mke akiingia shift za usiku? Kuna mawili... mke ni taahira au mke kamletea jini mahaba mtego.

Baaasi!
Ha ha ha ha Huo kama Mtego, Kwel wife akuletee Beki tatu mwenye chura hapana aisee
 
Ndg kam baba mweny nyumb, hili swal ilibidi uwe umelitatua mwenyew, '' behave yourself'',, hat heshim itakuwepo wala usimshulikishe mkeo maan itakuwa vita na atoamin kam ujamchinja, so huy bint mkany kam mwanao asikualibie reputation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mambo yako!! mambo madogo kabisa unauliza hapa, je ukikumbana na visa vya mama mkwe si utazimia?

hakuna namna, pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamata, menya, mega, tafuna.... tena mpaka maganda yake fakamia tu.

Nyuki haulizwi hii asali imetoka wapi yakhee
 
she is very hot na age yake ndio tatizo ,,,,,gonga mwana ila mpime kirusi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…