Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!
huyo mzee yaeleke aliruka steji ila huenda pia hiyo ni hulka yake toka yuko kijana...kumchunia hakusaidii, waiteni wazee wenzie wamkalishe chini wamweleze athari zinazoletwa na tabia yake hiyo..huenda akawasikiliza na kubadilika!!!
ngoja nikupe mfano mmoja.
mm huwa nasemaga hivi, siku nazaliwa sikuwa najua kwamba natoka kwenye tumbo la mama wala la baba, na sikujua kama kuna baba ama mama, dada wala kaka. ila maisha yalinichagulia haya tena pasi kupenda manake ningekuwa na choice basi ningechagua wale ambao mm binafsi ningependezwa nao.
lakin sasa unazaliwa nature inakupa yote pasi na choice. sasa unafanyeje?? basi sina budi kuyapokea yote. nilipokaa na kugundua kwamba wale ndugu ambao niliwaona ni wazuri sana labda ningewachagua wao tu wengine ningeaacha nikajikuta kwamba nao pia sio malaika wana uzuri na ubaya wao na hata wale ambao niliwaoana wabaya naoa pa wana uzuri wao na wao ndio waliokuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kuliko wale nilio wapenda.
hapo ndipo nilipo conclude kwamba no matter mtu ni mbaya kimatendo namna gani bado ana mchango mkubwa sana kwang. na makosa ya mtu huyo hayabadilish ukweli kwamba hajawah ama hatakaa aje kunisaidia. hivyo basi kosa la baba yako lisikufanye ukambadilisha kwa kitu ama mtu mwingine. alipaoteza siku yako kukuzaa imetosha sana manake ndiye aliyekufanya ukaliona jua. asinge donate sperm yake usingalikuwepo hivyo makosa yake hayawez kubadilisha hili.
take your time fanya kazi zako mtie mama moyo kwa nidham njema na maombi.
Pole sana; kwanini usiongee naye? Wewe ni mwanaume, mweleze kwa heshima ni mara mia awe anawapeleka mbali zaidi. Mzee wako anasumbuliwa na mid-life crisis huyo.
Kama ni muelewa ukimwambia jinsi gani unaathirika kwa matendo yako anaweza punguza.
Kwanza pole sana kwa yanayo kupitia ni maisha ila kinachotakiwa ni nyie kuwa strong kwa ajili ya mama yenu na kupata afya ya kisaikolojia. Je mama ni mfanyakazi au mama wa nyumbani? je wewe ni mwanafunzi? Naomba ufanye jambo moja tumia hasira na aibu uliyonayo juu ya matendo ya baba yako kama chachu ya kujitafutia maisha tofauti. kama ni mwanafunzi soma kwa bidii kama ni mfanyakazi jitenge na makundi bali elekeza nguvu zako kujijenga kimaisha. jiendeleze. kwa upande wa mama yako atafute likizo fupi ya kujipumzisha ili ajipange upya. akirudi aishi kama hamuoni baba yako wala asiyafikirie matendo yake. hakuna kitu kinachoweza kumsumbua akili mtu kama mwenza asiyekujali wala hana habari na wewe. atumie muda wake kuwatazama watoto wake mambo mengine yawe secondary. Primary goal yake ni kuwa na furaha na afya. Baba yako ni mtu mzima. lutumia muda mwingi mkiwazia anayofanya ni kumpa nafasi ya kuharibu maisha yenu. msisahau kumweka Mungu ktk maombi yenu ya kila siku. Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
tena nakusihi sana uwe na hekima sana katika jambo hili. ukiwa mtetezi wa mama sana utaleta balaa jingine kubwa sana. anaweza kuanza tifu na mama hadi la kumtimua home. najua unapopita mkuu ni pagumu sana ila kuwa jasiri utashinda tu.
Pole sana, hata mimi ningekuwa wewe ningeumia kama wewe au hata zaidi. Ila unaonaje ukiongea na padri/ mchungaji ili ajue jinsi kumsaidia huenda si yeye bali ni pepo linamwandama.
pole sana ndg. Hivi ni kwanini mibaba mizima na mivuzi viunoni haijiheshimu? Nadhani tafuta mood ya kumweleza live bila chenga. Ikiwezekana itisheni meeting ya familia wale watoto wakubwa na mama then mumkalishe chini muelezeni. akirudia tena kamateni fimbo charaza yeye atakoma. Mimi mzee wangu alikua anatabia hizo na mbaya zaidi kugombana kusikoisha nyumbani na kumpiga mama, siku moja tukamkalisha kikao na kumwambia, aliacha but akawa anarudia then ilibidi tumkunje mi na ndugu yangu na hajawahi rudia hizo mambo kabisaaaaaaaaaaa! Pole sana lakini sure tabia hizi zinatia kinyaa!!!!
dont be so mean, the man probably is having his last erection, so what? let him dick around a bit before he die, it is in men's genes,..we're hunters, lets spray our lollipop
i'm nt suredo u have a father!!?
Wewe ni he au she
Kama ni he jua hayo ni mambo ya kawaida
Au maybe unajaribunkuficha kitu
Maybe idn yako unaificha ila wewe ni mwanamke unaumia kuona baba yako anafanya huo uchafu
Au wewe mwanaume na huyo baba yako sio baba yako ila ni mama yako ndio anafanya huo uchafu
Kwani hapo ndipo naweza pata reason ya wewe mpaka kufikia kulia
Anyway shukuru mungu kwani kuna wengine mama zao wanapigwa mashine na watoto wadogo na 0712 kabisa wa rika la watoto zao
Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!
awe baba au mama zote ni laana na aibu nashangaa unadiliki kumwambia ashukuru Mungu c mama ake khaaa!!do u know wat is dignity!?