Huyu baba mkwe simwelewi anataka Nini?

Mpaka mtakapopata uhuru kamili mtaupigania sana.Lazima ujitegemee kiakili na kiuchumi bila kutegemea chochote kutoka Kwa yeyote Ndio mtaweza kujenga familia madhubuti
 
Nilichosoma Mzee anataka aone mjukuu kwanza ndiyo kijana wake afunge ndoa na ww, hii ni kuepuka kijana wake kuoa Mke ambaye hana uwezo wa kumpatia mjukuu. Sema ameongea kikubwa sana ukiwa akili ndogo huwezi kumuelewa.
 
Nami nilililipa ghalama kwa wazazi wa mke wangu. Wazazi wangu wakaomba kukabidhiwa mwali, ndugu wa mke wakadai ndoa.

Baada ya mjadala wa muda mrefu nikakabidhiwa mwali kwa sharti la kufunga ndoa baada ya miaka 2. Miaka 2 iliisha bila hata kichefu chefu wala kudai limao.

Ndoa haikufungwa mpaka tulipopata mtoto wa Kwanza, ndio programme ikawa resumed. Mama kama hata mimba hamna hiyo ndoa utaisikia kwenye powet break fast tu.
 
dah! michango ya hum usipokua na moyo unaweza left jf.. kuhusu tabia hapana mzee tangu siku ya Kwanza ananisifia mi mpole Sana istoshe atuishi nae sisi tuko mkoa mwingine na yeye labda swala la mtoto ambalo tumekubaliana na mwenzangu tusubir ndoa any way ngoja tuvumilie tu Mungu ataonyesha njia
 
Wakwe wengi hutaka kuona kwanza umebeba mimba au una mtoto na jamaa. Chunguza hilo...
 
Baada ya kupitia kwa harakaharaka nyuzi zako nimeamua nimuunge mkono babamkweo. Huyo mumeo ana kazi sana.
 
Watu mnamhukumu bure mtoa mada,em pitien nyuz zake za nyuma muone misukosuko alopitia na huyo bwanake.

Na shoga ang nawe una moyo uko nae hadi leo dah kweli we mvumilivu mamy.

Ukute unajzbia rizk tu hapo,tangu kipind kile tunakushaur temana nae huyo ungekua ushajipatia mwingine mwenye afadhali.
 
Mm mke wangu alisubili miaka 7 ndo tukafunga ndoa na hakuwai kulalamika, wewe mwaka mmoja unamfungulia baba Mkwe Uzi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani majibu ya jf unaweza jikuta unazima simu
 

Na nahisi bamkwe hataki koz share ya pesa itapungua mana jamaa itabidi asimamie show za familia yenu mpya mtayoanzsha
 
Ndoa inakuwa na baraka endapo kama INA BARAKA na ridhaa za wazazi!
Ila mzazi ni mwanadamu maneno yake sio msahafu wala biblia iwe ni sheria atakacho sema zipo mbinu nyingi za kuweza kumshawishi aweze kukubali hilo jambo likafanyika haraka
 

Na hapa u lied kua ushaolewa[emoji849]
 
Kwani hutongozwi na wengine shoga ang,i wish upate ya courage na guts za kuachana na hilo dubwana

Anyways mambo ya hisia bana kushaurika hua ni ngumu
 
Huwenda una tutabia tabia twa hovyo ndo mana Mzee anataka mwanae ajiridhishe. Mzee yuko sahihi, na kama nyie manunda fungeni bila kumshirikisha.. Namna unavyolalamika unaonekana ni mke mwenye gubu sana.
si bure baba mkwe Kuna kitu ameona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…