happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??