Huyu Baba Mkwe atanivunjia Ndoa


Mkuu, huyo ni baba tu na si zaidi ya hapo.
Kumbuka kuwa mmetokea ktk familia na makuzi/malezi tofauti ndio maana mkeo anaona ni kawaida japo wewe haikuingii kichwani! Na pengine unaweza kuta baba ni aina ya wale mabrazamen wa enzi hizo (may be) uzungu mwingi..., mapenzi kedekede kwa mwanae ila mradi tu..., mara kam-kiss shavuni.., hujatulia hugs..., teh teh! Sipati picha hapo wivu umekulalia kooni.., kusema huwezi wabakia kugugumia tu!!
Pole ila jaribu kwanza kuchunuza malezi/makuzi ya mkeo na ukishapata clue zungumza nae ili ajue linalokukera japo mie sioni kama ni ishu!
Kila la kheri!
 
Sio rahisi kiivyo, unajua the way nilivyoandika hapa watu wanaona labda nimeoa jana au juzi vilee eeh, haya bado naheshimu maoni yao wote
 
kweli hii imekaa kushoto, chungulia simu yake vi sms baba anaandika nini lazima wanatumiana vi ujumbe.

pia uizia ndugu zao as lazima kila mtu wa upande wao atakuwa anajua wapo karibu, unauliza kiutani hata mama mkwe. mambo mengi duniani ni vizuri ukijua utatulia.

ila kumbuka wattoto wa kike hulalwa na baba zao.
 

Hata kama jamani, ndo nakuweka tumbo wazi sakafuni na miguu sofani! yaani kama namuona huo mkao!
Dunia haiaminiki ya sasa, chunga zigo lako kaka!
 
we umeshaliwa kaka, hakuna cha baba hapoooo! chunguza kwa karibu hata ikiwezekana akija tena funga safari rudi night kali kunyatanyata utashuhudia mwenyeeeeeeeeweeeeeeeee....................dingi anakula vyake huyoooooo...
Time the time before it times you... mtoto atafanana na babu yake aaaaaaaaaaajeeee!
 

Mchelea mwana kulia siku zote hujikuta analia yeye...
Nadhani utakuwa umenisoma fresh sana Mkuu
 



urafiki kama huo,masihala kama hayo mimi sina time nayo
tena umechelewa sana kumpiga marufuku
wazee wengne wanakula matunda yao,shaurilo
 

Mmh rafiki, kuna wababa hawana haya, anaweza akaona watu hawasemi kwake yeye ikamaanisha wamepasisha longo longo zake.

Inawezekana baba na mwana wana 'uzungu' wao ambao kwenye mchanganyiko wa watu wengine inakuwa kama siyo vile. Labda siye wengine 'uzungu' huu umetupitia kando, ila miye sitapenda babaangu agalegale nyumbani kwangu bwana na suruali vipande zake khaa!
 
mmmh huu udhungu wa mtu mweusi siuamini hata tone!!! ni kweli mabinti tunapendwa sana na baba zetu lakini kwa kuheshimiana
 
Hahahahaha....dah!
mkuu nakuunga mkono baba anatakiwa kukaa na kuongea kwa adabu mda wote hasa mbele ya bintiye....
Hata kama ni dadys girl walearn to let go mtu ndo ameshaolewa hivyo!
 
Hahahahaha....dah!
mkuu nakuunga mkono baba anatakiwa kukaa na kuongea kwa adabu mda wote hasa mbele ya bintiye....
Hata kama ni dadys girl walearn to let go mtu ndo ameshaolewa hivyo!

yeah uko sahihi huo u Daddy's girl ulikua miaka hio bhana
 
Hakuna cha uzungu wala nini mzee mafia huyo kaozesha kwa shingo upande kupoteza malengo kwa raia lkn anaendelea kupata huduma kama kawa.
 
Labda nikuulize huyo ni baba yake mzazi kabisa? au labda mamake alimzaa uyo mkeo na mwanaume mwingine??
Be careful kaka yangu dunia imeharibika sana nowdays.jaribu kuchunguza mahusiano kati ya uyo dingi na mwanae
 
Huyu ni Baba yake kabisa, maana naijua hii familia vizuri na hata ukiwaona unajua tu wazi wazi kuwa huyu ni mwanae, kuna kufanana kwa namna fulani
Labda nikuulize huyo ni baba yake mzazi kabisa? au labda mamake alimzaa uyo mkeo na mwanaume mwingine??
Be careful kaka yangu dunia imeharibika sana nowdays.jaribu kuchunguza mahusiano kati ya uyo dingi na mwanae
 
Kaka Ongea na mkeo kuhusu hisia zako na kama mnaheshimiana ataheshimu pia hisia zako na kuzifanyia kazi. Kaka hawa wazee wetu wa siku hiz ni watata sana. Unaweza kukuta lizee lingine linakuwa na mahusiano na binti wake na mara nyingine linakuwa na wivu nae kama mke wake. KUKUBWA JADILI KWANZA NA MKEO
 
mmh!! hapo kuna namna hayo mambo yapo sana kwa hawa madingi...tengeneza mtego tu utawanasa
 
familia nyingine zimelaaniwa aisee kutembea na mdingi is not a big deal oooooh we jiaminishe mauchunguzi yako kwa umakini etiii na utafakari sana sana maana kuna mashetani na mabazazi ya kibaba na kimtoto........
 
Kuna cases huwa zinatokea za baba kutembea na binti zao. Na kuna baadhi zimewahi kutokea kwa watu naowajua kabisaa tena akazaa na baba ake mzazi. Sitaki kukushauri uamini na kwako inaweza kuwa hivyo.. ila kwa kuwa umeanza kupata dought ... fuatilia tuu kimya kimya, kama hakuna la ziada utajua. Mind u.. ukimwuliza/ukimwonyesha mkeo hyo dought atajisikia vibaya saaaaana especially kama hakuna lolote baya. tafuta njia nzuri ya kimapenzi kumwonyesha/kumfanye ajue hupendi baadhi ya vitabia anavyofanya kwa dady wake lol .. POLE EEE...
 
Usijitie BP bwana mbona kawaida hasa mtoto wa kike kwa baba yake full kudeka....
 
Be careful lolote linawezekana nchi imeharibika sana. Fanya uchunguzi wa kina, utakachogundua utiwe nguvu kukikubali na kuchukua maamuzi ya busara. Kumuua haitasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…