Huyu baamedi ananipenda kweli?

Huyu baamedi ananipenda kweli?

Mkali popote

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
633
Reaction score
340
Habarini za kazi wakuu,

Ni hivi kuna baamedi mmoja hivi nilimtokea siku za hivi karibuni na mambo ikatiki nikamgegeda siku ileile na mara nyingi zaidi huwa anapenda niende kwake kwani anadai hana mpenzi mwingine kabisa zaidi yangu na ikumbukwe tayari ana mtoto mmoja.

Sasa tatizo nikimnunulia hata vinywaji hataki nikigegeda nikimpa hata za sabuni hataki yaani kazi yake amenifanya mimi kama sexy machine tu. Anataka nimpande kila siku yeye ndo anihonge vinywaji na hela huku akidai ananipenda sana. Imeshakuwa shida sasa kulala saa 9 kuamka saa moja kwenda job na uchovu mwingi halafu yeye anadai eti ananipenda.

Ebu niambieni wakuu manake nisipoenda kwake kesho ni ugomvi hadi baa nzima washajua nagongaga ananipenda au ana kijidudu kinamuwashaga anataka niaribia tu kazi.
 
Habarini za kazi wakuu.

Ni hivi kuna baamedi mmoja hv nilimtokea siku za hivi karibuni na mambo ikatiki nikamgegeda siku ileile na mara nyingi zaidi huwa anapenda niende kwake kwani anadai hana mpenzi mwingine kabisa zaidi yangu na ikumbukwe tayari ana mtoto mmoja.

Sasa tatizo nikimnunulia hata vinywaji hataki nikigegeda nikimpa hata za sabuni hataki yaani kazi yake amenifanya mimi kama sexy machine tu.


Anataka nimpande kila siku yeye ndo anihonge vinywaji na hela huku akidai ananipenda sana.

Imeshakuwa shida sasa kulala saa 9 kuamka saa moja kwenda job na uchovu mwingi halafu yeye anadai eti ananipenda.

Ebu niambieni wakuu manake nisipoenda kwake kesho ni ugomvi hadi baa nzima washajua nagongaga ananipenda au ana kijidudu kinamuwashaga anataka niaribia tu kazi.
Watu wameishamaliza kujaza form za HELSB!!
 
Huyo alikuwa na ugwadu wa muda mrefu. Kaa nae mwambie mipango ya maendeleo na mweleze pia umemdondokea ila maisha bila kazi hayataenda hivyo muwe na ratiba nzuri ya kubanjuana.
 
Kupenda Uchwara huko hata kuchukua hela hataki afu bar medi.
Bar medi na hela ni kama kucha na kidole afu hataki lazima kuna kingine amekuambukiza ndio kuchukua hela ni kupunguza hela ya kununulia ili Hali anajua wahisani hawatoi tena misaada kwenye zile dawa
 
Anapenda kugegedwa uyoo na sio kuwa anakupenda
 
Kapime UKIMWI kwanza utuletee majibu maana upo kwenye risk kubwa, demu gani umtongoze siku hiyohiyo na ummege...
Baamedi huwa ana kalenda wala mambo za kuzungushana kikubwa akapime ngoma tu huyu mdau aliyefanywa sex mashine
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Penzi la baamedi lampagawisha njemba.
 
Ukianza kufungwa pampas na nepi ulete mrejesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom