Huyu askari haieshimu kazi yake.


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,934
Likes
5,182
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,934 5,182 280
Hafai kuwa Askari huyu Mwanajeshi wa Kikongo ahhhhhhhhhhhh Yu-maji.................75921_519629144721671_911807300_n.jpg
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
Naona amewalengeshea Vijana Kabisa, wakija wanapakua tu mzigo
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,004
Likes
5,178
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,004 5,178 280
amethubutu ameweza na Sakafu imemsongesha chini
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,606
Likes
21,154
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,606 21,154 280
Halafu naona mtutu wa bunduki kauelekezea magogoni...
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,772
Likes
5,365
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,772 5,365 280
hivi ukiingia baa na ukamkuta huyo kama alivyo, utaendelea kunywa kweli?
 
mkada

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
1,129
Likes
274
Points
180
mkada

mkada

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
1,129 274 180
huyu askari kaiva,pamoja na kulewa huko bunduki kaifunga kiunoni.huyu kweli ni soldier.
 
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,851
Likes
27
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,851 27 145
katulia kama hajui yuko kazini kaaaazi kweli kweli!:laser:
 
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,001
Likes
9
Points
0
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,001 9 0
quote_icon.png
By Chum Chang
viewpost-right.png
Ndio maana Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu


acha ujinga wewe nani aliyekuambia kwamba huyo ni askari wa Tz?
Kazi kweli kweli...usifikiri nami nitakuita mjinga kwa upumbavu ulio uwatindika
 

Forum statistics

Threads 1,214,562
Members 462,703
Posts 28,516,311