Huyu askari atachukuliwa hatua gani?

Huyu askari atachukuliwa hatua gani?

Hawa watu msiwachokoze jamani ndio maana wanajipiga risasi
 
Yaweza kuwa kakiuka maadili ya kazi yake sawa, kwamba kasema wakati yeye si msemaji!

Je kwanini tusijadili alichokisema badala ya kulaani maneno yake kama mpotoshaji?

Je aliyoyasema hayatendewi wafungwa ndani ya magereza pindi watumikiapo vifungo vyao?

Mfungwa akitoroka havurumishiwi risasi, virungu vya nwaka 47 havitembezwi?

Wafungwa wakorofi hawapati mkong'oto na adhabu zinginezo nk nk?

Aliyoyaongea yana ukweli ama lah?

Nilichokigundua toka kwenye comments nyingi humu ni kwamba, watu hawapendi kuongelewa jambo moja kwa moja kwa uwazi! Nadhani huu ni utamaduni wetu waTz.

Siku za nyuma ilikuwa ni mwiko na haijawahi kutokea mtuhumiwa wa ufisadi ama makosa mengine yahusuyo kuchafua haiba ya nchi, kutajwa hadharani kwa jina, kwamba siasa haimtaji mtu! Sawa, lakini enzi zinabadilika.

Ninachotaka kufahamu, huyo kijana aliyoongea yana kweli wowote?

Kweli yanatendeka magerezani ama katia chumvi kutaka kulipaka tu matope jeshi la magereza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimeona kama dogo katahadharisha kuwa jela sio mahali pa kujidai tena kama enzi zile jiwe kabadilisha formula ya namna gani wafungwa wanavyotreatiwa kama enzi zile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana-act kuwa yeye ni askari magereza...ni raia wa kawaida tu na sio askari....
 
wanajipiga risasi hawajitambui wanafikiri wana haki kuliok raia
 
Vijana wana stress unaweza kuta alikuwa anamsimamia mfungwa siku nzima kulima kwenye jua Kali.
 
Back
Top Bottom