hakuna utamu ndio uleule
Kila moja ina ladha yake , nyengine ina chumvi zaidi nyengine ukieka chunguni tu inatowa maji zaidi nyengine mpaka utie viungo ndio ilainike iko ngumu muda wote