Huyu anasikiliza nini.............?

Mtambuzi huwa nikiona uzi kutoka kwako nafungua haraka kwa kutegemea bonge la somo! Ila leo umeniacha hoi, kwa kuja na swali. Najaribu kufikiria anasikilizia nini, huenda anasikilizia mapigo ya moyo. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu katerero inapatikana maeneo gani?
.
GTesha ni hapa!!!

url

Ila Sehemu hii ilipata Umaarufu kupitia kitabu Hiki hapa chini ... "Siku ya Gulio .. Katerero"

DSCN3008.JPG
 
Mtambuzi huwa nikiona uzi kutoka kwako nafungua haraka kwa kutegemea bonge la somo! Ila leo umeniacha hoi, kwa kuja na swali. Najaribu kufikiria anasikilizia nini, huenda anasikilizia mapigo ya moyo. Lol!
mwaJ ,nimejikuta nikishikwa na udadisi, nikaona niwaulze wenzangu humu, maana huu uzee wangu huu napitwa na mengi.........!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom