Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Hapo sasa!.......unanikumbusha thread nyingine kabisa!..lolNina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
keshakuchoka huyo!
KARIBU KWANGU MPWA!mila zinaruhusu!...MILANGO IKO WAAAZI😀
Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
Ni edit nini tena mppwaaz.labda uniambie nikaziedit MILA NA DESTURI ZA KIAFRIKA🙂Mpwa kabla sijachangia hebu edit kwanza hii...dah! 🙄
Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
ha ha ha ha!Just PM me my dear little flower , may be,it will be a good start for 2010 to us. please!
Mind you sijaambiwa ITS OVA YET, sinatatwangwa mangumi ni zirai.keshakuchoka huyo!
KARIBU KWANGU MPWA!mila zinaruhusu!...MILANGO IKO WAAAZI😀
Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale, inapelekea sometimes inapita mwezi hatuonani na anadai ni vijimambo 2 vinatufanya tuwe apart, mind you haya yote hayakuwepo mwanzoni, basi hivi majuzi nikamtolea uvivu nikamwambia just tell me if its over ili ni move on with my life, lakini akaniambia he still loves me, and am imagining things, hivi hii inawezekana kweli ukaribu ni zero, caring ni sifuri. Naombeni msaada wa ushauri wanajf maana naona things are getting worst.
Lol!maneno mazito kwa mshikiHahaha! Mpwa bana! Acha nicheke kidogo! Heb niache nikompee hiyo red na blue nione kama kuna kinachoendelea hapo! Stuka Mpwa!!! Wanaume ndio zetu, tukikuchoka tunahamishia ratiba kwenye kuwa busy! Don wore sisy, kuna vijana serious kibao wamejaa! Du yu knoo woram seyying? Ushamwagwa dada! Stuka!
duh hii kali hata ticket sijpewa bado.Just PM me my dear little flower , may be,it will be a good start for 2010 to us. please!
sikiliza mama!Mind you sijaambiwa ITS OVA YET, sinatatwangwa mangumi ni zirai.
Lol!maneno mazito kwa mshiki
nimekupa senksi mkuu!Afu kabatani ka senksi hujakaona? LOL!
nimekupa senksi mkuu!
jaribu kumkonvisi mshiki aunge tela kwangu basi!maanake jamaa yake ndo hivyo keshayeya
LF,..Thats where the troubles begin with these realtionships...Urafiki ulio na mawasiliano mazuri kabisa unaweza kudumu hata kwa miaka 2, bila hata ku'do!..i just want to tell you that hiyo parameter ya ukaribu ni muhimi sana...Kama inaanza kukwama, all of a sudden, ujue kuna kidudu mtu anaingilia...Usimwogope huyo jamaa, mwambie in black and white kuwa unahisi ana mahusiano ya pembeni..na kama vp akuweke wazi!...,unless kama unalipiwa DSTV na fuel na rent ndo utaona soo kumpa live!...huh!