KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Kama kuna demu wa humu atafanikiwa kumchuna jamaa wa JF, basi huyo ni jambazi sugu.
🤣 🤣 🤣 atuoneshe na kapicha kabisa tujue tunamzungumzia mtu wa aina ganii🙄🙄hako ni ka slay queen lazima kavaa viatu manyoyaaaa
🤣🤣tena litakuwa jambaz la kimataifa mpaka CIA wanamtafuta🤪🤪🤭Kama kuna demu wa humu atafanikiwa kumchuna jamaa wa JF, basi huyo ni jambazi sugu.
Mbona hajaomba? Jamaa kajishtukia..alipaswa amfariji tu kwa maneno.Verifier,
Achana nae huyo hakupendi na amekuwa kimya kwa kuwa haoni umuhimu wa kuwasiliana nawe.
Ametumia kigezo cha kodi kukukimbiza maana kama kodi ndio sababu inamzuia vipi mtu kuwasiliana nawe.
Ina maana kama akiwa mpenzi wako siku nyingine akiishiwa chakula, nauli, nk atakuwa anakuchunia?
[emoji23][emoji23][emoji23]Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi hii namuuliza mbona yupo kimya? Kanijibu "NIMEISHIWA NA KODI"! Nikamuliza kodi ndio inakufanya uwe kimya, akajibu Ndio! Simuelewi huyu binti wandugu!
jiongeze tuWiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi hii namuuliza mbona yupo kimya? Kanijibu "NIMEISHIWA NA KODI"! Nikamuliza kodi ndio inakufanya uwe kimya, akajibu Ndio! Simuelewi huyu binti wandugu!
Ulimtukana??Verifier,
Kuna kabinti kamoja Jumamosi iliyopita mekukatana nacho kwenye bajaji tukapiga story mbili tatu baada ya kufika Mbezi kakaniomba namba, jana kananiomba ela ya kusukia 30k wakati sijakatongoza wala kukatafuta tangu nimekapa namba.
Ukiona manyoya!! jiongeze hapo kamandaWiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!
Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi hii namuuliza mbona yupo kimya? Kanijibu "NIMEISHIWA NA KODI"! Nikamuliza kodi ndio inakufanya uwe kimya, akajibu Ndio! Simuelewi huyu binti wandugu!
hapo kodi siyo chini ya 200k,muda mwingine hizi chenji tuwe tunawatumia wazazi wetu na wao wanufaike na uwepo wetu😅 😅 😅 😅 utajua mbele kwa mbele mkuu lakn kwa sasa kodi kwanza hayo mengine badae
hapana sijamtukana mkuu, nlimlia bati mbaya kabisaUlimtukana??
hapo kodi siyo chini ya 200k,muda mwingine hizi chenji tuwe tunawatumia wazazi wetu na wao wanufaike na uwepo wetu
Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi!