Huyu anaitwa, Deo Sanga

Huyu anaitwa, Deo Sanga

Kwanini CHADEMA au UKAWA wasianze maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima ili kupinga Deo Sanga kushangilia kupitishwa kwa katiba na zaidi ya 2/3 ya wajumbe wa baraza la katiba?
 
1798478_10152716922834339_5179864084217914165_n.jpg


KUBWA JINGA,Baba huyu katoka Dodoma na mkungu wa ndizi.Kaburi la huyu jamaa lazima liwekewe alama ili watoto na wajukuu zetu watakuwa wanakwenda kwa kumbukumbu watakao kosa karo za shule na vyuo kikuu.Mbunge wa Nyasa/Mbinga uko hapo Sanga anakuzidi kukata maoni
 
Hahaha, ndo wasaidizi wa kikwete, no wonder madudu yanaendelea kla kukicha
 
hivi hakuna mashine ya kupima nini kilichomo ndani ya ubongo wa mtu kabla hajaingia kwenye majadiliano yanayohusu taifa?

Akili Iliyochanganyika Kwa Bange, Malapulapu na Ugolo Unategemea Nini? Wewe Unavyomuona Yupo Sawa Huyo POPOMA?
 
yoote haya ni uzuzu wa sisi watanzania
mbunge darasa la saba
 
Huoni tatizo hapo kabisaaa?

Hapo pamegeuka disko?

Waliokaa bungeni kupitisha ile toilet paper wote ni bure tu...hawana akili kama wewe...

No wonder hawajaangalia suala la elimu kwa mbunge.....

Ndugu,
Jaziba ya nini?

Kuuliza kwangu ndiyo kutokuwa na akili.

Kinachoinekana hapo ni picha mnato. Hivi katika mazingira hayo ya picha mnato unaweza kufahamu kama anacheza disco.

By the way, naona mmeshupaa sana na suala la elimu kwa wabunge.

Hivi katika mazingira ya chaguzi za vyama vingi na wagombea binafsi kunakuwa na haja ya kuwepo na kigezo cha elimu zaidi ya kujua kusoma na kuandika.

Kama kigezo cha elimu ni suala linalowagusa wananchi, basi chama chochote kitakachosimamisha mgombea ambaye ana elimu pekee ya kujua kusoma na kuandika, basi wananchi watachagua mgombea mwingine kutoka chama kingine au mgombea binafsi.

Hii ingekuwa ni hoja kwenye chaguzi za chama kimoja.

Haiwezekani vyama vyote vikaweka mgombea katika jimbo moja ambaye ana elimu pekee ya kujua kusoma na kuandika.

Hii ni hoja muflisi katika mazingira ya vyama vingi na wagombea binafsi.
 
Ndugu,
Jaziba ya nini?

Kuuliza kwangu ndiyo kutokuwa na akili.

Kinachoinekana hapo ni picha mnato. Hivi katika mazingira hayo ya picha mnato unaweza kufahamu kama anacheza disco.

Kwa akili yako huwezi kuona....

CCM ni vipofu,,....Na vitambi vyenu kama mimba mtajua hata kinachoendelea?

Of course mtu yeyote asiye insane anaweza kuona huyo anacheza....Vyombo vya habari pia vimeripoti

Nchi hii tutaendelea CCM na majizi kama wewe mkiwekwa pembeni


sanga.jpg
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Deo Sanga akisakata muziki katikati ya Ukumbi wa Bunge hilo baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura zilizopigwa kupitisha Rasimu ya Mwisho ya Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi -Mwananchi
 
Jamani Ndugu zetu Mbeya ....tuambiwe hivi Huko Kwenu mnao watu wa Sampuli HIII ?.

Mimi najuwa Mbeya kuna watu wanaojielewa......

Siyo Iringa Mkuu? Nadhani Akina Sanga Wengi ni wa Iringa Kama Sijakosea ILA Kwakuwa Lenyewe Li Sanga Lipo Humu Litatuambia............. Wewe POPOMA Sanga Hebu Tiririka Kama Unatoka Kwenye Mkoa Wenye Makanisa Mengi Kuliko Shule AU Unataoka ktk Mkoa Wa Wala Mbwa na Wa Kujitundika!
 
Hahaha, ndo wasaidizi wa kikwete, no wonder madudu yanaendelea kla kukicha

Kama Wasaidizi Ni MAPOPOMA Hivi Je Anayesaidiwa Na Aliyewateua Tumuiteje..............................?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom