Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Kilichomfanya kukata mauno ni kipengele cha Mbunge kutokuwa na elimu,
Sanga ameishia darasa la saba.
Lusinde na MajiMarefu hawakuwemo nini? Au alikua anaingia mmoja mmoja stejini?
Kilichomfanya kukata mauno ni kipengele cha Mbunge kutokuwa na elimu,
Sanga ameishia darasa la saba.
Benjamin Franklin once said, We are all born ignorant, but one must work hard to remain stupid...because you can't fix stupid.Wewe utaliona wapi tatizo wakati kila kukicha tumbo lako linaongezeka utadhani mjamzito.
Eti ni kweli Wananchi hawahitaji kuwa na katiba?Benjamin Franklin once said, We are all born ignorant, but one must work hard to remain stupid...because you can't fix stupid.
Uko ndani ya Box utalionaje?Binafsi sioni tatizo...
Binafsi sioni tatizo...
tatizo lipo la kikanuniBinafsi sioni tatizo...
utaonaje tatizo wakati ubongo wako ni wa kiccm ume jaa mav.i?!
Huyu anaweza kututengenezea Katiba huyu??!!
Huyu ni mzalendo anafurahia rasimu nzuri kwa ajili ya wananchi wake, hakuna shida yeyote.
Huyo ni mkinga.Bungeni hawakai wasomi tu na wanga na wachawi pia.Sababu katiba unapotengeneza ni ya kusimamia wasomi na wasiosoma na wanga na wachawi pia.
Anachofanya hapo mbele ni zaidi ya unavyomwona.Watoto wa dot com kuna mambo hamyajui.Hapo anahitimisha bunge kwa lugha rahisi.
Huyu naye anadai ana uwezo wa kuitoa Tanzania hapa ilipo!!!
View attachment 190300
Kwani tatizo hapo ni nini?
Binafsi sioni tatizo...
Kuwa makini na maneno yako...
Kwa ujinga uliofanyika dodoma kama huoni tatizo basi ni walewaleBinafsi sioni tatizo...