T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,445 Reaction score 8,418 May 21, 2013 #1 Inawezekana akawa anaomboleza?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 May 21, 2013 #2 Q Man said: Inawezekana akawa anaomboleza? View attachment 94620 Click to expand... Atakuwa amemkumbuka marehemu bosi wake...
Q Man said: Inawezekana akawa anaomboleza? View attachment 94620 Click to expand... Atakuwa amemkumbuka marehemu bosi wake...
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 May 22, 2013 #3 Huyo kajilewea zake kisha kaona apumzike kidogo aendelee na safari yake
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 May 22, 2013 #4 Q Man said: Inawezekana akawa anaomboleza? View attachment 94620 Click to expand... Haya mambo CCM wanayapenda sana. Baada ya kuistawisha nchi, sasa hatuna mahitaji mengine ya fedha zaidi ya kujenga makaburi DODOMA kwa 1bn
Q Man said: Inawezekana akawa anaomboleza? View attachment 94620 Click to expand... Haya mambo CCM wanayapenda sana. Baada ya kuistawisha nchi, sasa hatuna mahitaji mengine ya fedha zaidi ya kujenga makaburi DODOMA kwa 1bn