huyu anacheza nyimbo gani?

anacheza No woman, No cry ya bob marley
 
Kuna mwimbo ktk ngoma ya kabila fulani, inafika sehemu anasema "namwaga radhi mie .. ananijua nani?" ndio hivyo wanavyofanya hapo gongo lipo kichwani
 
Huyu ni Mh.Mariam Kisangi(CCM-Vitanda maalum) anacheza ngoma za vigodoro baada ya hotuba ya Prof. Tezi alipogundua kuwa prof yuko upande wake wa kutetea escrow scandal....!!
 
Huyu ni Mh.Mariam Kisangi(CCM-Vitanda maalum) anacheza ngoma za vigodoro baada ya hotuba ya Prof. Tezi alipogundua kuwa prof yuko upande wake wa kutetea escrow scandal....!!

bavicha kwa visasi,yani huyo mama hamusahau tu?
 
Anaonyesha kipaji alichonacho, mbona Beyonce umumsemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…