KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Tusameheane muda mwingine ulimi unateleza kwa maudhi yenu..........Sema baadhi ya wanawake usiseme wanawake wote maana na mama aliyekuzaa unamchanganya humo humo

Asante na uwe wakati mwema........Kumbe ndio maana huelewi unachokizungumza wewe mwenyewe, siwezi kubishana na wewe maana kumbe huna unalolijua