Huyu ana mapenzi na mwanae kweli?

Huyu ana mapenzi na mwanae kweli?

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Binti kazaa na jamaa mtoto,wanaishi Mikoa tofauti na umbali huo nauli ni elfu 6 tu kutoka kwa jamaa mpaka kwao na binti jamaa tangu mtoto azaliwe mpaka leo anamiezi 6 hajawai muona yaani hamjui kabisa mtoto, matumizi hutoa elf 30 per mwezi vizuri tu, huyu anamapenzi na mwanae kweli.
 
hana mapenzi nae......huwezi kukaa miezi 6 bila kumtia mwanao machoni.........
 
Atakuwaje na mapenzi na mtoto ambae hajawahi hata kumuona??anatimiza majukumu tu huyo...
 
Elfu 30000 ndio takataka gani??????????
Hakuna mwanaume hapo wala mtu anayestahili kuitwa baba,
naona kuna :msela:na:majani7: tu hapo
 
Elfu 30000 ndio takataka gani??????????Hakuna mwanaume hapo wala mtu anayestahili kuitwa baba,naona kuna :msela:na:majani7: tu hapo
Duuhh jamani wakati mwingine ni vizuri kujiuliza input output ratio imekaaje. Yule Mwl Mwema aka Messiah alimpongeza mama mmoja kwamba katoa kingi kuzidi wote japo alichotoa kilikuwa kidogo kuliko wote.
 
bint kazaa na jamaa mtoto,,, wanaishi mikoa tofauti na umbal huo nauli ni elfu 6 tu kutoka kwa jamaa mpaka kwao na bint jamaa tangu mtoto azaliwe mpaka leo anamiezi 6 hajawai muona yaan hamjui kabisa mtoto.. matumiz hutoa elf 30 per mwez vizuri tu.... huyu anamapenz na mwanae kweli au!!!

Je unafahamu makubaliano ya hao watu wawili juu ya mtoto huyo?
 
kusoma hujui sawa,
hata picha tu kwamba huyu ni ng'ombe au mbuzi???
au ulikuwa una hamu tu ya kuanzisha thread???
 
Je unafahamu makubaliano ya hao watu wawili juu ya mtoto huyo?

nafaham hawana makubaliano yoyote... jamaa mwanzo alikua hata cm apigi wala hakua na habari nao kaanza kutoa hela january
 
Alafu wanawake bwana hivi kwanini mnakosa shukrani nyie viumbe....mtu anahangaika huko ili amtunze mwanae na kila mwezi anajibana anatuma hela ya matumizi kulingana na uwezo wake bado mnamuona hampendi mwanae....wewe unaona miezi sita mingi sana watu wanakaa mpaka mwaka hawajawaona watoto wao lakini bado wanakea.....kuna wengine wametelekezwa kabisa bila hata ya kupata hata senti tano....mnataka mtu akae nyumbani muangaliane sura alafu mwisho wa siku unadai matumizi ya mtoto....ndio maana muda mwingine watu wanaamua kuwakimbia tu kwa kukosa kwenu shukrani...mtu anajituma kwa kadri ya uwezo wake lakini bado tu mtu anakuona huna maana......PAMBAFFFFF.....
 
inawezekana kwel mtu akakaa hata miaka mitano...lakini fikiria mtoto tangu kazaliwa hamjui sura na jamaa huwa anaenda mkoa huo huo kisemina anakaa hata wiki au anaenda mkoa mwingine anapita mkoa huo alipo mwanae anaenda jiran na mkoa huo anakaa hata mwezi kweli ni ubusy kweli huo mwanao tangu kazaliwa haumjui??
 
Kwani lazima amuone kama kabanwa na majukumu je??....mtu mpaka amekubali kumhudumia mtoto ina maana anamjali.....wewe unataka atoroke kazini alafu hiyo hela ya matumizi utaipata vipi???......acheni hizo bwanaa
 
Umekulia mjini au kijijini bi mkubwa?

Je unafahamu maisha ya kijijini?

Duuhh jamani wakati mwingine ni vizuri kujiuliza input output ratio imekaaje. Yule Mwl Mwema aka Messiah alimpongeza mama mmoja kwamba katoa kingi kuzidi wote japo alichotoa kilikuwa kidogo kuliko wote.

Usidharau kidogo cha mwenzio, inawezekana hiyo 30,000/ ndiyo jasho lake lote la mwezi limeishia hapo.

jamaa anauwezo tu ni doctor pia ana duka kubwa tu la dawa

Nimekulia kijijini kabisa na kilimo ndio kimenikuza hvo nayajua vizuri maisha ya kijijini, Lakini kuwa mtu wa kijiji sio sababu ya mwanaume kumtelekeza mtoto, hainiingii akilini mwanaume mwenye akili timamu asimwone mwanae hadi anafikisha miezi 6 eti anatuma takataka 30000, Narudia kuita takataka. Mwenzie anahangai huko bado kabeba fedheha ya kutelekezw.a, ninyi wanaume hamjui jinsi ianvyouma kuona jitu ulilozaa nalo linapokuwa halina habari na mtoto ila tu linajifanya linatuma hela. huyo mwanaume ni mpuuzi tu, narudia tena nimpuuzi tu
 
Kwani lazima amuone kama kabanwa na majukumu je??....mtu mpaka amekubali kumhudumia mtoto ina maana anamjali.....wewe unataka atoroke kazini alafu hiyo hela ya matumizi utaipata vipi???......acheni hizo bwanaa

Kwa maelezo yako inaonekana wewe ni kaka (baba), ni kweli unayosema kwamba una-take care ya mtoto na pia unaweza usimuone hata miaka 5, lakini kukujibu hili na ukaelewa ni mpaka siku mungu aamue kuugeuza ulimwengu kwamba wanawake kuwa wanaume, na wanaume kuwa wanawake ndipo utaelewa kuhusiana na wanawake kulalamika.

Vinginevyo nikushauri upate muda ukae na mama mtoto muweke sawa haya mambo yanayohusu mtoto umsikilize mama kwa nini analalamika na sio ku-panic tu umeshakuwa baba hutakiwi ku-panic hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom