huyu ana cheo gani huko?

huyu ana cheo gani huko?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
pia nimekua nikisikia wakimuimbia kwa kumsifu, hyena hyena....nambari one. ndiyo mwanachama wa kwanza nini?

FISI.jpg
27.jpg
Msanii-na-FISI....jpg
 
Hiyo picha ya juu naona anacheka! Nilikuwa sijui kuwa Fisi anaweza kucheka.
 
huyo mdudu akijamba hapo hana atakayetamani kubaki hapo hewa inakuwa nzito na mawingu yanatanda eneo hilo
 
Back
Top Bottom