Francis12 JF-Expert Member Sep 30, 2016 7,533 22,276 Jun 22, 2017 #1 Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
gwa myetu JF-Expert Member Aug 18, 2014 4,413 4,589 Jun 22, 2017 #2 Hahahaha napita mie ,atakuwa Kadinda
The Evil Genius JF-Expert Member Mar 21, 2014 5,464 17,293 Jun 22, 2017 #5 Aisee. Labda atakulia humo, nakumbuka zamani tulikua tunanunuliwa nguo kubwa kuliko miili yetu ili tukulie humo.
Aisee. Labda atakulia humo, nakumbuka zamani tulikua tunanunuliwa nguo kubwa kuliko miili yetu ili tukulie humo.
Kinga kingdom JF-Expert Member Jan 11, 2017 769 845 Jun 22, 2017 #6 Hahaha Tanzania ya viwanda imeanza na kanzu ya mkuu
E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 15,081 10,050 Jun 22, 2017 #7 Atakua tu imtoshe, chamsingi aendelee kuwabana wapiga dili.
E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 15,081 10,050 Jun 22, 2017 #8 Ingependeza zaidi angeweka na kamkoti juu yake, safi sana.
mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 39,286 44,846 Jun 22, 2017 #9 Mbona iko vizuri tu.au sababu haujaalikwa kwenye futari.ndo majungu.
Ngushi JF-Expert Member Jul 8, 2016 9,066 18,348 Jun 22, 2017 #10 Zamani wazazi walikuwa wanatununulia oversize ili tukue nazo! Labda nae wanataka azeeke nayo
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,692 40,944 Jun 22, 2017 #11 Siasa za bavicha bwana , mmefulia sana kisiasa..mmebakia kukosoa hata picha..
wasumu JF-Expert Member Oct 28, 2015 2,028 1,695 Jun 22, 2017 #12 Hahahhhahahahah magufuli naye hahahah ni mzee wa zamani
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 7,985 6,248 Jun 22, 2017 #13 pongezi gani mbona mikono imemezwa sasa
Dodou JF-Expert Member May 4, 2017 494 390 Jun 22, 2017 #15 Nowdays kila mtu anasema amefunga, hata mkiristo. Kwa nini!!
Raynavero JF-Expert Member Apr 29, 2014 38,413 55,987 Jun 22, 2017 #17 The Beast Among Men said: Aisee. Labda atakulia humo, nakumbuka zamani tulikua tunanunuliwa nguo kubwa kuliko miili yetu ili tukulie humo. Click to expand...
The Beast Among Men said: Aisee. Labda atakulia humo, nakumbuka zamani tulikua tunanunuliwa nguo kubwa kuliko miili yetu ili tukulie humo. Click to expand...
Mpunilevel JF-Expert Member Sep 14, 2015 3,140 1,871 Jun 22, 2017 #19 Pwani nayo si salama kwa mauaji yanayoendelea kwa Sasa. Mkulu kapiga oversize ya kanzu ndani kama kawaida bullet proof, binadamu hawana wema
Pwani nayo si salama kwa mauaji yanayoendelea kwa Sasa. Mkulu kapiga oversize ya kanzu ndani kama kawaida bullet proof, binadamu hawana wema
Mvaa Tai JF-Expert Member Aug 11, 2009 6,159 4,443 Jun 22, 2017 #20 Ndo matatizo ya kushtukiza, huenda wasaidizi wake walikua hawajui kama atahitaji kanzu kwahiyo alipowashtukiza kwamba anataka kuvaa ikabidi washone fasta wampime kwa kumkadiria kwa mbali tu.
Ndo matatizo ya kushtukiza, huenda wasaidizi wake walikua hawajui kama atahitaji kanzu kwahiyo alipowashtukiza kwamba anataka kuvaa ikabidi washone fasta wampime kwa kumkadiria kwa mbali tu.