Huyoo amepita

Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri...
hapo hapiti.
 
Mchungaji Bulldog waongezee wana wa Mungu mstari huu (LUKA 18:25-27);

25Hakika ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu."
26Wale waliosikia haya wakauliza, "Kama ni vigumu hivyo, ni nani basi awezaye kuokoka?"
27Yesu akajibu, "Yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yawezekana."
 
Last edited by a moderator:

Mnakuwaga wapi nyie watumishi wa Mungu? Au mnazongwa na kuzingirwa na mambo ya hii dunia?
 
Last edited by a moderator:

Nakupromote uchungaji usaidizi
 
Mie nimejipendekeza nakupa kitu hicho chini

Mathayo 19.24Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni."

Swali la kizushi tu.Hivi wanazungumzia Ngamia ile kamba kubwa ya kufungia meli au ngamia mnyama?Najaribu kuangalia uhusiano kati ya ngamia mnyama na sindano au kamba na sindano.
 
Tusiojua mistari imekula kwetu, mimi nilijua mbuzi kumbe ngamia.

Mbarikiwe
 
Swali la kizushi tu.Hivi wanazungumzia Ngamia ile kamba kubwa ya kufungia meli au ngamia mnyama?Najaribu kuangalia uhusiano kati ya ngamia mnyama na sindano au kamba na sindano.

Ni ngamia kwamaana ya Kamba na si mnyama. Watu wengi wanadhani mnyama kama mnyama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…