huyo ndo mwanamke

umesahahu husababisha mauti kwa vifua chuma kama barlow............
na ndo mm na mama yako na dada yako na mkeo na binti yako......................na tunajenga majumba na kumiliki magari kwa uanamke tu.

mmmh! ukweli unauma.......hapa kuna ukweli hapa
 
Von Mo Da umelenga hila hilo la Demu akipost pumba facebook anapata likes na comments hadi 500 ndio lililonikimbiza FB na kuja JF yani JF members hawana hiyana wao wanacomment na ma like ya kutoshaaa aje aje.
 
Last edited by a moderator:
Waacheni watoto wa wanaume wenzetu watupe raha na karaha.....Ebbbbooooooohhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
shosti wangu amesahu kwamba kuzaliwa mwanamke tu ni mtaji...............achilia mbali kuanza kufanya biashara ya vitumbua lol!

Yani shost acha tu.
Nafurah kuzaliwa mwanamke kwani nawapelekesha puta vidume vya mbegu na ma-Degree yao.
Mwanamke ni mtaji tosha,
utavaa,utakula,utaendesha mkoko na N.K.
Chezea mabinti wa mjini?
Hapana chezeiya.
 
umeona enh! yani najivunia kuwa mwanamke manake, ni mtaji tosha bana........... siwaz kuhonga mimi wala kumpa mtu hela yangu mie.
 
umeona enh! yani najivunia kuwa mwanamke manake, ni mtaji tosha bana........... siwaz kuhonga mimi wala kumpa mtu hela yangu mie.

Bali mimi ndio stering.
Na akileta uzuri,unatupa kule,unavuta kipya.
Yani mtaji mkubwa kuliko kufungua Yard.
 
Bali mimi ndio stering.
Na akileta uzuri,unatupa kule,unavuta kipya.
Yani mtaji mkubwa kuliko kufungua Yard.

yaani ni mtaji kuliko hata wa bakhressa wewe halafu unavuta ingizo kila uchwao.........hakuna kuremba.
 
umeona enh! yani najivunia kuwa mwanamke manake, ni mtaji tosha bana........... siwaz kuhonga mimi wala kumpa mtu hela yangu mie.

Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuangaika............Cheziya mabinti wa mujini wewe utaumia mwenyewe!!!! Ndio maana sishindani na m/ke kimaendeleo hata siku moja,yeye hata kama hana kazi lkn anaweza akamiliki gari na lipo barabarani daily....
 
mwanaume wa KWELI hutumia DUME akiwa na MWANAMKE

Unamaanisha 'dume' tangazo hapo juu? Kama ndio huyo sio mwanaume wa kweli. Halafu unamaanisha nini kusema akiwa na mwanamke, je kuna wakati mwingine anakuwa na Cameron.
 
Akitaka wateja zaidi aseme ananasisha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…