Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Ina maana pamoja na kubembeleza kote kule bado wakuja wa Nyarugusu waling'oa mzigo?
yani hata sijaelewa bado. Mzima?
Ina maana pamoja na kubembeleza kote kule bado wakuja wa Nyarugusu waling'oa mzigo?
yani hata sijaelewa bado. Mzima?
my wife huyooooooo......dah....
zubeda mbona kaka yako mshamba? Nguo ya ndani kavaa nje na ya nje kavaa ndani.Namleta kwenu kaka yangu ndo huyo mrefu mnaemuona....muda si mrefu atakuwa nasi akitokea israeli...mlikuwa mnafikri mimi sina ndugu wapo na huyo ndo wa kwanza.
nategemea kumpa kazi ya kuhakikisha wale wote wanao mtolea mimacho my ARABELA,,,,ana husika moja kwa moja.....
.....vijIMBAZI KAENI CHONJO.....
Natangaza rasmi beef na wewe, na ole wako utie mguu White Party!
:mwaaah::mwaaah::mwaaah::doh: :doh: :doh: