Huyo mtoto sio wako

Huyo mtoto sio wako

Hajapewa. Ni wake. Yote nataka kusahau. Nianze upya.
 
Apo ni kutafuta wa nnje then miaka 1
ikifika unamleta kwa mkeo
 
Natafuta wa kwangu!

Tawile mkuu.Yalinikuta hayo,nililea kama mwaka hv siku hiyo tukazinguana ndani akatamka mtoto c wa kwangu,nikamjibu hapo hapo,sawa. muhimu we na mwanao kuleni kona kuanzia sasa,ntapiga mashuti sehemu nyingine kutafuta wa kwangu.
Kisu kilipoanza kutulia mkononi huku tayari niko na mtu mwingine ndani keshashiba anasubiri kucheua naona wa mwanzo ananiletea mtoto kuhitaji matumizi, eti madai yake ilikuwa hasira lkn mtoto wa kwangu,nikamwambie we!,shika adabu yako,kampe tu mwenye mtoto wake ulishasema mi sihusiki, niache nilale na ubavu mwingine.
 
Duh! Mkuu ulifanya vizuri sana!
Ila nakushauri mkapime damu (DNA) Ili ushibitishe kama ni mtoto ni wako au sio wa kwako!!!
Hawa ke ni mama zetu ila sometimes wanaboa sana!

Siendi popote mkuu, Kama wa kwangu ataambiwa tu na mama yake siku moja kuwa mimi ndie baba yake halisi. Na Kama c wa kwangu atapotelea tu msitu wa Amazon huko na mama yake. Na hapo ndipo itapodhihirika kauli ya mama yake kuwa kweli mtoto hakuwa wa kwangu ila kamuokota msituni Amazon huko. Mkuu, wakati mwingine huitaji kuumiza saaana kichwa na hawa viumbe.
 
Duh!
Itakua huyo mama mtoto alikukera sana mkuu! Hadi sasa hunaimani nae!
Umeandika kwa hisia kali na hasira!
Pole sana mkuu!
...
Ila mkuu kosa kafanya mama, kwa nini mtoto apate adhabu?
Kutomuhudumia mtoto ni adhabu kwake! Pia anakosa upendo wako mkuu!
Kweli kosa la ng'ombe wa mbele huwadhibiwa ng'ombe wa nyuma!
...
Najua wewe ni mtu wa kulipiza kisasi (kama mimi) pia ni mtu mkorofi sana pale unapotendewa baya kwa makusudi!
...
Mkuu msamehe bure mama mtoto! Kumbuka hakuna mkamilifu!
Hakika damu mzito kuliko maji!
Na kwa hakika damu mzito kuliko maji!
...
Ni kweli mtoto wako aje kwako kipindi anajitambua? Na hakika atatambua mama yake ndie mkorofi but still na wewe anaweza kukuona hauna/haukua na busara! Yap! Coz kama mke/m/ke mwengine tayari unae, yule mama aligundua kama alichokufanyia sio sahihi, amekuomba msamaha just umuhudumie mwanao!
...
Haya bhana, nakutakia kila la heri! But usigive up kwa damu yako!!

Mkuu, kuna mtu aliandika humu kuhusu yaliyotokea kule westgate Kenya kuwa "raia wasio na hatia wanalipa makosa yaliyofanywa na wanasiasa".Nami huku mtoto anapata tabu kwa makosa yaliyofanywa na mama yake.Mi hapo sina kosa mkuu, mtoto akikua akija akiambiwa ukweli halafu akiniona baba nilikua hamnazo hiyo tena itakuwa shauri yake, mi nasonga tu. Isitoshe kipindi anaongea hivyo sikuwa na njaa sana, ningekuwa na njaa ningejua sbbu ya ukata ndio maana anantosa. Pia kuzinguana kwetu ilikuwa mambo mengine kbs hayakuhusu mtoto, hii maana yake alilolisema lilikuwepo kichwani alikuwa anatafuta mahali pa kulilipua tu, akapapata siku hiyo. Mkuu, napiga Box ughaibuni, habari ya huyu mwana mama na mwanae nishasahau, naangalia wengine.Nachojua alichosema alimaanisha kwa sbbu kipindi hicho sikuwa na njaa, nilikuwa namuhudumia kwa mpz yote ya baba na mtoto na mama mtu.Mtoto akipata tabu huko nyumbani mi sihusiki,"ATAKUWA ANALIPA MAKOSA YALIYOFANYWA NA MAMA YAKE.
 
Duh!
Itakua huyo mama mtoto alikukera sana mkuu! Hadi sasa hunaimani nae!
Umeandika kwa hisia kali na hasira!
Pole sana mkuu!
...
Ila mkuu kosa kafanya mama, kwa nini mtoto apate adhabu?
Kutomuhudumia mtoto ni adhabu kwake! Pia anakosa upendo wako mkuu!
Kweli kosa la ng'ombe wa mbele huwadhibiwa ng'ombe wa nyuma!
...
Najua wewe ni mtu wa kulipiza kisasi (kama mimi) pia ni mtu mkorofi sana pale unapotendewa baya kwa makusudi!
...
Mkuu msamehe bure mama mtoto! Kumbuka hakuna mkamilifu!
Hakika damu mzito kuliko maji!
Na kwa hakika damu mzito kuliko maji!
...
Ni kweli mtoto wako aje kwako kipindi anajitambua? Na hakika atatambua mama yake ndie mkorofi but still na wewe anaweza kukuona hauna/haukua na busara! Yap! Coz kama mke/m/ke mwengine tayari unae, yule mama aligundua kama alichokufanyia sio sahihi, amekuomba msamaha just umuhudumie mwanao!
...
Haya bhana, nakutakia kila la heri! But usigive up kwa damu yako!!

....Lingine mkuu hawa watu huwa wanaagalia palipo na neema wamtwishe mtu mzigo, inawezekana kipindi hicho kipato changu kilikuwa hakikidhi mahitaji yake na upande wa pili ilikuwa njema zaidi ndio maana akaamua ahologanye kwangu aende kule.Sasa nadhani kule nako kimenuka kwangu njema zaidi kuliko mwanzo akaamua mzigo aulete kwangu, nami huku NIMESANUKA.kama wangu ataletwa tu mkuu, lkn okane (pesa) sitoi.
 
Ok! Haina nouma Mkuu!

Pole ndugu ila ndoa muhimu sana ndio huleta baraka anza maisha kivingine tu ila kama dogo hana pakwenda na uko vizuri usimtupe hana hatia huyo
 
Binti kapelekwa boarding school na jina jipya!
 
embu ngoja msituzingue na vitopic vyenu uchwara nyoosha maelezo tuelewe.Mlifunga?mlibebebana na kuanza kuishi pamoja?mimba iliingiaje ingiaje ?na ilikuwaje miaka kumi yote unawasiwasi mtoto si wako?na huo wasiwasi miaka kumi yote hujaupatia ufumbuzi?mwisho mtoto wa ndoa au ndo mambo ya bahati mbaya?Afu mwandiko wako ni kama kavulana na siye baba wa mtoto wa miaka kumi

wewe amu tangu lini umekuwa mrithi wa shekhe yahya? mwandiko una sura mpaka ujue umri wa mtu? hata sura nazo hudanganya...makeup nyingi siku hizi!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Binti kapelekwa boarding school na jina jipya!

kama kambadilisha na jina bila shaka si wako kweli...tupa kule, tafuta mwanamke mwingine kama ipo ipo tu...utapata mtoto mwingine ni suala la kumuomba m/mungu! kuhusu hao msaada wako unatosha...ushawasaidia sana kujaza choo...
 
Asante Ponjoro kwa ushauri wa busara. Sasa nina mpango wa kuhama ili kuegusha shari. Yote namwachia Mola kwani kosa ni langu kununua matatizo kwa pesa zangu nwenyewe. Miaka 43, je nimechelewa sana?!
 
Hujachelewa kaka...kwa sisi wanaume huo ni umri wa kawaida tu muhimu ule chakula kizuri na kufanya mazoezi ya kutosha!!! ni mapema sana suala la msingi ni kumuomba m/mungu afya njema tu...babu yangu mtoto wake wa mwisho ambaye namwita mama mdogo, kampata akiwa na umri wa miaka 73 yaani huyu mama mdogo ni mdogo sana kwangu!!!
hadi sasa babu yupo na ana umri wa miaka kama 95 hivi na afya yake nzuri bila shaka kwasababu si mlaji wa vyakula vya mafuta na nakumbuka mwaka 2010 alikuwa anaendesha hadi baiskeli sijui sasa hivi...
 
Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi?

Tindikali inahusika. Kuwa nayo karibu na usijisahau kwani siku akikugeuka kwa kukudharau kuwa si baba yake wakati umemtunza mpaka kafikia alipofika, pwaaaaaaaaaaaaaaaa, unamwagia.
 
Back
Top Bottom