Huyo mtoto sio wako

Huyo mtoto sio wako

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi?
 
Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi?

Kitu cha kwanza unampiga talaka yeye na huyo mtoto. Kisha unapata mahali pa utulivu unapumzika kusahau machungu kisha unaanza maisha upya.
 
^^
Namsamehe bure maana watoto ni mali ya Mungu..wazazi au walezi ni wasimamizi tu
^^
 
Kwani kuna kingine cha kufanya mkuu wakati mama kashathibitisha si wako?
 
sa mtoto ana kosa gani jamani!!!!!!!1

ana baba yake...mtoto anadeserve malazi ya baba yake mzazi kuliko baadaye aje ajue mama yake alipiga umalaya nje mpaka akamzaa...the sooner the better .
 
baba wa huyo mtoto walipe fidia ya matunzo iliyotumika ndani ya hiyo miaka kumi, ndo mtoto abadilishwe jina na mama wa mtoto kama ulikuwa unamvumilia ndo utoe talaka
 
Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi?

Anaomba talaka amechoka kukaa na wewe. Soma nyakati
 
ana baba yake...mtoto anadeserve malazi ya baba yake mzazi kuliko baadaye aje ajue mama yake alipiga umalaya nje mpaka akamzaa...the sooner the better .

sawa.....ila ulivosema kupiga umalaya mmh sijui nimeonaje aiseee
 
Mama kagoma kuondoka!

embu ngoja msituzingue na vitopic vyenu uchwara nyoosha maelezo tuelewe.Mlifunga?mlibebebana na kuanza kuishi pamoja?mimba iliingiaje ingiaje ?na ilikuwaje miaka kumi yote unawasiwasi mtoto si wako?na huo wasiwasi miaka kumi yote hujaupatia ufumbuzi?mwisho mtoto wa ndoa au ndo mambo ya bahati mbaya?Afu mwandiko wako ni kama kavulana na siye baba wa mtoto wa miaka kumi
 
Tulikuwa tukiishi tu. Hakuna cha ndoa wala nini. She is such a contraversial woman in her early 40s.
 
Back
Top Bottom