Huy mume asifiwa kwa uaminfu

Huy mume asifiwa kwa uaminfu

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox- Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu
 
Kweli hiyo dada hajangastukaw machale jayajamndesa....
 
Kwa ujinga na uzembe wa wanaume wa siku hizi, tumpongeze tu huyo mume na mkewe. Mwanaume wa kibantu unakuwaje na kidumu na ushtukiwe na mkeo? Huo ni umburukenge.

Cc Asprin, Dark City
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaa
Kukamatwa ipo lol
 
Last edited by a moderator:
Kweli bora udanganywe ucjue mwanaume akianza kukuonyesha live hapo mapenz kushney ni kuanza kutafuta pa kutokea.
 
Kwa ujinga na uzembe wa wanaume wa siku hizi, tumpongeze tu huyo mume na mkewe. Mwanaume wa kibantu unakuwaje na kidumu na ushtukiwe na mkeo? Huo ni umburukenge.

Cc Asprin, Dark City

Kitendo cha kuwa na simu ambayo haitumiki iwe niwa kupokea/---- sms au calls, kilimtosha huyo dada kutafuta wataalamu wa Scotland Yard....Badala yake, anaandaa party...

Muda si mrefu tutamwimbia pambio na RIP za kutosha,

Babu DC!!
 
Well, at least ukisema wewe japo watahisi ushapiga cha Arusha watakuelewa kuliko niseme mimi muumini wa mila na tamaduni zetu.
 
Kitendo cha kuwa na simu ambayo haitumiki iwe niwa kupokea/---- sms au calls, kilimtosha huyo dada kutafuta wataalamu wa Scotland Yard....Badala yake, anaandaa party...

Muda si mrefu tutamwimbia pambio na RIP za kutosha,

Babu DC!!
Yani jamaa siyo prefesheno kabisa. Afu na mkewe ni booonge la zezeta!

Nimeipenda sana hiyo ndoa!
 
mbona kuna code fulan unaeweka kwenye cm msg zinakua hazionekani. that smple, wa2 wa it tunatmia sana
 
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items- Empty, Outbox- Empty...naomba tumpigie makofi mdada huyu

Huenda huyo mwanaume iko gonjwa au anasimu nhyingine kaificha ya mawasiliano
 
Back
Top Bottom