Huwezi kuwashinda wanawake kwa uongo

Huwezi kuwashinda wanawake kwa uongo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Uliko lala wewe ndiko waliko amkia wao.
Kabla hujaanza kunjunji yeye alisha poteza bikira na kuumizwa moyo,
akikuambia wewe ni bwana wangu wa pili maana yake wewe ni bwana wangu wa mia mbili na mbili.


​
1234640_549796828452271_1085869475_n.jpg
 
Hiyo kitu sio sabuni kwamba ukiitumia itaisha kaka! Waache waongope tu maana tunawaanza wenyewe na wengi wanakuwa wapitaji tu.
 
Ma demu kwa fiksi usiseme !! hasa ma demu waaa mujini wana fiksi mbaya aaloooh
 
Mashoga(david cameron) ndio waongo zaidi
Nalog off
 
Hakuna kipimo cha uongo ..
Kuna wanaume wenye fiksi za uongo laki kumi...

Elewa uongo ni tabia ya mtu na sii jinsia fulani
 
..iko hivi wanaume WANADANGANYA, lakini wanawake wanaongea UONGO MKUBWA SANA, hivyo basi uongo wa mwanamke na ni kwa ajiri ya mwanaume, na udanganyifu ni wa mwanaume na ni kwa ajiri ya mwanamke.
 
hahahahaha Bujibuji bwana sasa unataka mwanamke akuambie wewe ni bwanaake wa kumi utakubali kweli kuwa nae au utaanza kumtangaza kuwa kashakamilisha kikosi eeeeeeh
 
Last edited by a moderator:
Mjini shule..

mwaga ugali, nimwage mboga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom