Ficus
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 1,440
- 1,116
Hukutakiwa kuhama, hapo ndipo ulipokosea changamoto kama hizo ndiyo mtaji wa kujikuza zaidi na kufanikiwa.Mie nilifungua Biashara sehemu nikawa Mwenyewe tu hakuna Mwenye hiyo Biashara na Nikawa nauza Sana ... Eeeh bwana Eeeh walikuaj Wengine pembeni yangu wakaanza Kuuza
Sasa kijana Wangu mmoja akawa anasumbuliwa Na halmashaur ya Jiji yaani visa ni Vingi kweli ili wakuangishe na Kodi zisizo na Kichwa wala miguu.. nikahama Hilo eneo
Cha Ajabu Nilipohama na wale waliokuja Nao wakafunga Biashara Mana waliingia Kichwa kichwa tu
Sasa huko ulikohamia na kwenyewe wakikufuata wakafungua biashara kama unayofanya utahama tena?!