lakii nane?Kama mtaji ni mkubwa na una uhakika biashara inalipa, chukua Kampuni ya Ulinzi ambapo mlinzi ambaye ana silaha ni Kati ya 800,000 hadi 950,000 Kwa mwezi. Bado wizi sio changamoto, you're!!
Ndio kumbu kumbu zangulakii nane?
Tofauti Ipo Nimesema Ya Kwanza Kuiga Biashara ya 2 Nimesema Kuiga Mtindo wa Kufanya Biashara yaani mwenzako anauzia Samaki Chini na Wewe Unauzia Chini Kwenye Ardhi au Meza Chafu.. Badala Atleast Uwawekee katika Hali ya Usafi Na Kuwawekea Package ili uongeze Thamani yakeHivi namba 1,2 na 5 kuna utofauti gani, naona unaelezea kitu kilekile, anyway bandiko sio baya japo halijashiba kama heading ilivyo..
Makampuni Mengi ya Ulinzi Ni Utapeli wanaufanya Tu Kwa Walinzi... Unailipa Kampuni Pesa Nyingi Inamlipa Mlinzi Laki moja walati Yenyeqe Umeipa Laki kuanzia 3 unategemea Majambazi Wakija Mlinzi si Atashirikiana Nao waibe..Kama mtaji ni mkubwa na una uhakika biashara inalipa, chukua Kampuni ya Ulinzi ambapo mlinzi ambaye ana silaha ni Kati ya 800,000 hadi 950,000 Kwa mwezi. Bado wizi sio changamoto, you're!!
Kuna kodi, mifuko ya kijamii, admin cost n.kMakampuni Mengi ya Ulinzi Ni Utapeli wanaufanya Tu Kwa Walinzi... Unailipa Kampuni Pesa Nyingi Inamlipa Mlinzi Laki moja walati Yenyeqe Umeipa Laki kuanzia 3 unategemea Majambazi Wakija Mlinzi si Atashirikiana Nao waibe..
Mada nzuri lkn ndio hivyo tena watu wanapenda mada za umbea kuliko mambo ya msingi..
Anyways kuna biashara nataka nifungue branch sehemu ambayo ni very potential for tht specific biz.
Mtaji ninao na kila kitu ila changamoto iliyopo ni kwamba hilo eneo lina wezi balaa yaani.
Japo kuwa biashara yenyewe kufungua ni saa moja kufunga saa kumi na mbili lkn kiukweli inanitisha.
Mie nilifungua Biashara sehemu nikawa Mwenyewe tu hakuna Mwenye hiyo Biashara na Nikawa nauza Sana ... Eeeh bwana Eeeh walikuaj Wengine pembeni yangu wakaanza KuuzaWatanzania tumekosa sana ubunifu kwenye biashara, kuigana kwingi mno
Nb. Tujifunze kupitia biashara za watu na sio kuiga.
Mie nilifungua Biashara sehemu nikawa Mwenyewe tu hakuna Mwenye hiyo Biashara na Nikawa nauza Sana ... Eeeh bwana Eeeh walikuaj Wengine pembeni yangu wakaanza Kuuza
Sasa kijana Wangu mmoja akawa anasumbuliwa Na halmashaur ya Jiji yaani visa ni Vingi kweli ili wakuangishe na Kodi zisizo na Kichwa wala miguu.. nikahama Hilo eneo
Cha Ajabu Nilipohama na wale waliokuja Nao wakafunga Biashara Mana waliingia Kichwa kichwa tu