Huwezi kumchunga mwanamke!

Itakua jamaa ana hela halafu bibie akaona fursa ila moyo uko kwa ntu mwembamba.
Kiukweli jamaa mambo yake siyo mabaya upande wa fedha yuko vizuri,sasa hivi wana watoto watatu wanaishi uganda
 
Basi hata hiyo story si ya kuamini maana amekusimulia mwanamke.
 
Hadithi yako nzuri kakufundisha nani totoo
 
Sijaona uhusiano wa story yako na ajenda ya kumchunga mwanamke.......

Au nyie ndio wale madenti mliokuwa mnafeli somo la kiswahili katika uandishi wa insha?!
 
Haaaaaaa bado haitasaidia maana hutaona MTU akileta kizuizi cha ndoa kanisani ila ukifunga tu michepuko inaendelea
 
Sijaona uhusiano wa story yako na ajenda ya kumchunga mwanamke.......

Au nyie ndio wale madenti mliokuwa mnafeli somo la kiswahili katika uandishi wa insha?!
Labda pengine hujanielewa,imajini mtu kamuomba pesa akamunyima afu katumia njia nyingine ambayo haiwezikani kuikwepa, je akitaka kwenda kwa mchupuko hata kama unambana kwa hiyo mbinu hata kama ni wewe hutaingia king?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…