Huwezi amini, nilibakia mimi tu

Huwezi amini, nilibakia mimi tu

Ni kweli alikuwa na nia njema hata mimi nimeona , washauli walimpotosha akajiona mungu mtu, na akashindwa kubalance mambo hasa yanayogusa wananchi moja kwa moja.

wananchi hao ndio walijaa wakilia kumuaga.
 
Sidhani. Wanatuminisha hivyo. Hatunajinsi kukubaliana nao
Achana na hiyo,ndugu yetu LISSU risasi zaidi ya kumi,lakini huyo anatamba tu duniani huko.
Ukiamini ya LISU ujue na kwangu ilikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom