mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Habari zenu wanasiasa? Nakumbuka tarehe 08/04/2021 nilikuwa nasafiri kuelekea kisiwa cha PATMO usiku kwa ndege
Mle ndani mlikuwa na abiria wengi kutoka mataifa mbalimbali ya wazungu na wengi wao wakiwa makomandoo na viongozi maarufu wa dini.
Kutoka nchi yetu tulikuwa wawili tu.Abiria wote walikuwa wana bashasha isipokuwa abiria mmoja tu ambaye ni mimi, mawazo yangu yalikuwa mbali sana,niliathiriwa sana na kifo cha bwana YOHANA(yule wa tarso).Hivi nini kilimkuta!? Alikufa tu ? aliuawa? Na kama aliuawa nani alihusika? mayahudi? au warumi.?
Na haya makundi ya masadukayo yaliyozuka kumtukana Yohana au lile kundi la mafarisayo linalodai lichanjwe chanjo ya TAUNI wanafanya hayo kwa mamlaka gani?
Nikiwa nawaza ghafla nikagutushwa na kelele za abiria na myumbo wa ndege tulopanda,kumbe ndege ilikuwa inaanguka,kama hiyo haitoshi magaidi wakatusindikizia na bomu kabisa,ndege ikalipuka
Baadae najikuta naning'inia juu nyaya za umeme HV 132kv.
Kipindi najiuliza nitatoka vipi pale nikaona kundi la magaidi linakuja,kwa kasi kuja kumalizia kama kuna mabaki si ndo wakaniona pale juu,wakaanza nivurumishia risasi ikabidi nijiachie,kufika chini tu nikaangukia kwenye kisiki kilichochongoka lakini niliondoka eneo lile bila kuacha alama licha ya kuwa nilikuwa navuja damu
HUWEZI amini kwenye AJALI ile nilibakia mimi,MIMI TU WA KUWALETEA HABARI!
Eti leo ndio niogope kufa kisa tauni!! eti nichanjwe!!
Hii chanjo isikatazwe, iletwe mwenye kuogopa kufa akadungwe,Kusiwepo shinikizo
Mwambieni the Empress asiumize kichwa kuunda tume kwani itakuja na majibu ambayo tayari tunayo ila asiweke shinikizo kwani wengine tayari tuna nusura ya asili kwa kila jambo
Kule kwenye ajali yetu walikufa makomando,viongozi wa dini licha ya maombi waliyokuwa wakiomba ila nilibakia mimi,mimi tu wa kuwaletea habari.
NB: Maono haya nilishushiwa nikiwa katika KISIWA CHA PATMO