Huwajui waluguru ndio maana

Vyuoni,au mashuleni unaweza kuwa na tabia zoote unazozitaka
lakini ukiamua kuwa mwizi,jiandae au kuacha shule
au kuchukiwa na wenzio kiasi hata cha kutaka kukuuua.
Hivyo hivyo uswazi, ukiamua kuwa mchawi au mwizi
usitegemee kupendwa.Labda yule asiyekugundua.
Uchawi ninaoongelea ni ule wa kutaka kuwadhuru wenzio
na hili kabila kata kubali halichomoki hata ukilisafisha kwa HOMO.
 
Baba wa Taifa aliwahi kusema kazi ya makabila ni kutambika tu.Waganda na Wakenya walikua ni rahisi kutambulika sbb ya ukabila,lkn sisi Watz ilikua ngumu kutambulika sbb hatukua na Ukabila....mtu anayefikiri kua Kabila lake ni bora kuliko jingine hilo ni tatizo...ukabila na udini ni sumu kubwa katika Taifa na una athari kubwa mno ukiruhusiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnalinganisha walugulu ambao kiasi kikubwa wameishakuwa watu wa mjini na wasukuma watu wa kijijini asilimia kubwa.Je walugulu hawana jema lolote naona mnawaandama sana.ฤฐkumbukwe waafrika asilimia kubwa wanafanana tabia.extended family ipo kwa wasukuma kuliko inavyozungumzwa hapa, wasukuma wanaua ovyo kuliko walugulu.Hebu acheni mambo ya kujadili makabila, waafrka wote ni walewale ndio maana nchi zetu haziendelei, sasa kama wewe umeelimika kwa nini usiwaelimishe walugulu, mbona wazungu wanakuja kutuelimisha kutumia dawa ya mbu na neti na hawatucheki na kututelekeza kama nyinyi mnavyofanya kwa walugulu.
 
Huu ujumbe ni mahususi kwa makabila yanayojihusisha na uharibifu
badala ya tabia zinazojenga umoja na mshikamano.
hata wewe mahali unapoishi,ukiona unanyooshewa kidole
kabla hujawalaumu hao watu jichunguze kwanza.
uchawi na wizi ni matendo yasiyoishia ndani ya familia
bali yanawadhuru hata majirani hivyo hayavumiliki.
 
Huwezi lisema kabila zima huo ni ugonjwa wa akili,na kama una tabia za kujumuisha watu wote kwa kosa la watu wachache basi una matatizo makubwa sana...sizani kama ukoo wako wote mko smart kiasi cha kusema wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ