1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,233
Kuna Babu Tale mtoto MOROGORO,, meneja wa DIAMOND,, Huyu jamaa mjanja mjanja sanaaMtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi.
Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa wagombea wawili wa vyama viwili tofauti wakashindana na Nyerere kugombea urais, kipindi wakoloni wanataka kutoa uhuru
Na inadaiwa hao waluguru wawili yaani Mtemvu na Kunambi walimchemsha saana mwalimu, alikuwa anakosa hadi usingizi akiwafikiria waluguru wale
Hadi ndo chanzo mwalimu kuwa mbunge morogoro ili kuwa-counter check wapinzani wake wale.
Kwa hyo dharau muache, waluguru kitambo waliamka, kipindi ambacho hata akina nshomile, bado wanatafta ma-phd,
Na mpaka leo waluguru wako vizur, hata ukiangalia kwenye kada ya mpira wa miguu, wao ndo kama kiwanda cha wachezaji nchini
#Hebu_acha_dharau_wewee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawachi njoo wamekujaWewe nawe bure kabisa, sasa unatoa hoja ya nyumba za udongo, kuna mkoa ambao hauna hizo nyumba, kariakoo kwenyewe zipo hizo nymba,
Halafu watu wengi hawajengagi nyumba za familia kwa sababu sio yako peke yako, unajienga leo kesho inauzwa
Ushirikina inaonekana hata wewe ni mshirikina pia, labda ulikuwa unapigaga ramli ukawajua waluguru ndo wanakuroga
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachobisha ni nini?
Au umeamua kubishana tu kwa vile kubisha kupo? !!
Kama ni nyumba ya ukoo kwanini hamzikarabati?
Kwanini baba mama babu bibi wajukuu zenu watoto wenu wajomba zenu wote mnaishi na kuzaliana kwenye pagala hilohilo?
Ni kwanini hamjiongezi akili hata mmoja ajitoe ajenge nyumba yake pembeni?
Kwanini mnaruhusu watoto wenu wa kike kugongewa na kuzalishwa watoto ovyo kwenye nyumba za ukoo?
Kwanini hamsomeshi watoto zaidi ya kuwa bodaboda na kucheza singeli?
Nitajie hata warugulu watatu ambao ni maprofessor au Dr? !!!
Acha kutetea ujinga ndio maana sasa hivi tumeamua kuwahamisha wote mkakae kinole na bwakila huko.....
Hapa mjini utatukuta wanyakyusa wasukuma na wachagga basi. ...
Mie ndo naskia humu kuwa ni wasafi na wana maumbo mazuri
0 brain kbs..!Umeona eee kabisa wangu... ndio maana nikasema labda, ila najua ni wavivu haswa kuanzia kwenye fikra mpk kikazi
Na warangi hivo hivoKatka makabila ambayo hayana maendeleo ni warugulu. ... hili kabila la hvyo sana washirikina mno wabishi balaa...
Ukitaka kuamini katikati ya mji wa morogoro mitaa kama mlapakolo mtoni street kote kuna nyumba za miti na zmeoza. ..ndani ya nyumba hzo unakuta bibi babu ,mama wajukuu watoto wao wote wanaishi humo humo na wazalishwa humohumo utakuta bint ana miaka 19 Lakn ana watoto watatu wanaishi nyumba hyo hyo ya ukoo. ....
Yaani ukitaka kuwa masikin oa mluguru ukoo wa mjomba babu shangazi binamu wote watahamia kwako kazi yao ni kushinda kwenye vigodoro usiku na mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji25][emoji25][emoji25]Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wachafu balaaa....hata kuoga ni shida, speaking through experienceMie ndo naskia humu kuwa ni wasafi na wana maumbo mazuri
Mimi ni nshomile, nimezaa na mrugulu, aisee muziki niliochezeshwa sio wa dunia hii, mipasho, maneno mengi, kila Mara kavaa Dela, mashost mtaa mzima na kila Mara kila siku anaomba kwenda kwao aisee.
Nilichoka kwa kweli. maana alianza kunawili huku Mimi mwili ukipotea, nikakosa balance kabisa kimaisha mwisho nikaona isiwe taabu sijamuoa huyu wacha nimrudishe kwako, siku ya kuondoka alikomba nyumba nzima nikabaki na nguo zangu,viatu na mavuzi yangu tu.
Ila kitandani na suala la misosi plus usafi nawahusudu sanaaaa halafu wana maumbo mazuri mazuri kabisa sema tabia ndo hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wachafu balaaa....hata kuoga ni shida, speaking through experience
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π Huu mpambano mimi niwe lefa kwa kweli
Kama nawewe ndio hao, please kuwa huru kuchangia[emoji28][emoji28][emoji28]Huu mpambano mimi niwe lefa kwa kweli
Hahahaha wew unitakii mema unaona uwanja umetapakaa damu unasema niingie nipambane asubutuu hapa namuachia ManengeloKama nawewe ndio hao, please kuwa huru kuchangia
God save us
Lady pepeta au?jaman pepeta zilinishinda..dah
Hahahaha wew unitakii mema unaona uwanja umetapakaa damu unasema niingie nipambane asubutuu hapa namuachia Manengelo