Ndiyo Dada Fanya hivyo una baraka zangu zote[emoji13][emoji13]ila sasa usimwambie kama sina chura maana ataanza kukununulia virikuu sijui balimi sijui eagle[emoji133][emoji133][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaniletea kiu asbh asbh yote hii mdogo wangu..!yeah nitaanza fanya hvyo aisee..!
Nimeona raha, kama masikini kama mimi nisiye na mbele wala nyuma nikipotea nauliziwa hauni ni raha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo Dada Fanya hivyo una baraka zangu zote[emoji13][emoji13]ila sasa usimwambie kama sina chura maana ataanza kukununulia virikuu sijui balimi sijui eagle[emoji133][emoji133]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nawe mkuu😊Msinifanyie hivyo jamani...!
Nakuunga mkonyo! Hawa ngosha kwa u-trekta hawajambo. Ila sasa kinachotokana na huo u-maksai wao hakionekani. Sijui shida iko wapHao wasukuma ndo buure kabisa, kwa u-trekta si wapingi, ila wakishavuna ndo utawajua kuwa ni mapimbi tu
Na baadhi ya mikoa madada poa washawashtukia, wanaenda kuweka kambi kwenye vijiji vyao kipndi cha mavuno
Ndo maana most of them, kazi kuubwa mafanikio nukta,
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂usijidharau hvyo kuna watu hawalali kwaajili yako ujueNimeona raha, kama masikini kama mimi nisiye na mbele wala nyuma nikipotea nauliziwa hauni ni raha?
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo kwanza ifakara..99%ya nyumba zote nzuri za hapa mjini ni za wasukuma...ukiona gari kali jua ni la msukuma hebu tuwe serious jamanNakuunga mkonyo! Hawa ngosha kwa u-trekta hawajambo. Ila sasa kinachotokana na huo u-maksai wao hakionekani. Sijui shida iko wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa ni sample moja na waluguru[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila kuwasahau WAHA.wamejaa sana moro
Hawalali kwa sababu hawanijui Dada[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]usijidharau hvyo kuna watu hawalali kwaajili yako ujue
Ameona hizi sifa ulizomwagia lakini?hahahahhaa huyo mwelewa bwana sijawah msikia na ishu za chura..alafu yupo very smart upstairs
Haya ni mahabaaaaaDogo banaaa, sawa.
Ila mimi nilihangaika, naamini sitahangaika tena kujua unaendeleaje.
Hawalali kwa sababu hawanijui Dada[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawalali kwa sababu hawanijui Dada[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
100%Dogo, don't do this to yourself.
At least not here.
mahaba mlipuko
Wakati ni mijusi tuu waruguru wanasifa... Muhaya akasome... Na kupenda uchawiMnatukosesha usingizi kisa WALIGURU ?
Kusema uongo ni dhambiWaluguru ni Kati ya makabila dhaifu tz kimsingi mchaga na mpare hawaoani na waluguru wanawadharau sana
Waluguru ni dhaifu mpk hawapendani wao Kwa wao na wabunge wao wengi sio waluguru
Nyerere
Amir jamal
Shamim khan
Aziz abood
Dr mzeru alikaa kipindi kimoja baada ya kuuliza swali la kijinga bungeni eti kwanini viberiti havijai
amos makala sio mbunge wa Morogoro mjini ni mbunge wa mvomero turiani halafu pia sio mluguru ni mnyiramba yani wewe ndio hujui kabisaaaaaaa umeenda chakaKusema uongo ni dhambi
mhe Amos Makala ni mlugulu na alikuwa mbunge wa Mvomero kwa walugulu wenzake.
Anyway Tz ni yetu sote.