chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 971
- 1,969
ndo hivo hata akinizungusha sana mwishowe lazima nipige ndo tutaelewanaMpaka uone ndani ndo hadi umnjunje?
Ndani kuona itakuwa ngumu mzee 😁 we chungulia dirishani tusalaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Haya ni maelezo ya striker Nguli kabisa 😂😂😂Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.
Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.
Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
lakini mkuu lazima nimpige hata kama kwa kubadilisha teknikiHuyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.
Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.
Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
option ni moja tu mkuu inabidi nimpige ashakula time yangu sana, ila inabidi nibadili mbinuNdani kuona itakuwa ngumu mzee 😁 we chungulia dirishani tu
Penye uzia penyeza rupia! Wahenga walisema... .salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Na mbinu iliobaki ni nguvu ya dola tu 😂😂😂!!!option ni moja tu mkuu inabidi nimpige ashakula time yangu sana, ila inabidi nibadili mbinu
Na mbinu iliobaki ni nguvu ya dola tu 😂😂😂!!!
Hapo hupigi round tena lazma umuone kama alivyozaliwa😝
Penye uzia penyeza rupia! Wahenga walisema... .
Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.
Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.
Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
hata mwaka nitamkomalia mkuu maana kushindwa sio poaKuna mwanamke nilifatilia kwa mwaka mmoja aisee nilikuwa mwehu sana kipindi hicho.
Bro usimkatishe mwenzio tamaa...Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.