Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

Kuna abood wana gharama nafuu hasa kwa mizigo midogo midogo.

Kwa mizigo mikubwa Mpaji Mungu tusaidie makampuni.
🙏🙏🙏

Kariakoo Kuna transporter zinapeleka mizigo nzima na mataifa jirani kama Kenya, Congo, Zambia, Zimbabwe na Malawi

Unafuu inategemea na mzigo wenyewe kama

Kama Kuna mtu yeyote ana uhitaji wa kujua transporter ya mkoani kwani anicheki au areply kupitia hapa ntampa maelekezo ya ilipo na mawasiliano yao
 
Strong Side ukiwa na mzigo nenda msikiti wa makonde kama unaenda fire ndio kwenye transporter nyingi za mabasi kama kidia one, happy nation, maning nice, majinja, zuber nk na malori na kama unataka abood nenda mkabala na jengo la simba club (ABOOD wana huduma ya mtu kulipia mzigo akiupokea) pia kuna cargo kibao jangwani​

Weka tunufaike mkuu
 
Shukrani sana mkuu
 
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Tunahusika pia na usafirishaji wa mizigo na vifurushi kutoka dar kwenda mikoa mbali mbali karibuni sana
 
ppia kama ukihithaji kuagiza mzigo kama huwezi kufika dar kuepusha garama wasiliana na mimi kukutafutia baadhi ya mizigo unayosumbuka kuipata ntakufanyia, swala la kuogopa kutapeliwa nitafutie ndugu yako mmoja aishie dar mkabidhi hela mimi nihangaike kukupatia mzigo yeye alipie mpaka mzigo uuupate mpaka utakapo niamini mana kazi hizi msingi ni uaminifu tuu. Nafanya hii kazi na nina wateja mikoa tofauti na nnje ya nchi pia ma machimbo ya bei nafuu na wachina ninao store zao no hizo hapo 255784705349,na255674846674
 
Back
Top Bottom