Huwa unafanya nini baada ya Kusalitiwa na kuachwa kikatili?

Kwanza pole sana na hayo majanga yaliyokukuta nadhani ulijaribu kupaly fair sana katika mahusiano ndo maana maumivu yankuwa makubwa kiasi hicho,Ila jambo moja ambalo yawezekana hukujua kabla huyo mwanadada hakuwahi kuwa na hisia halisi kwako na ninadhani huko nyuma dalili uliziona sema ndo ivo ulijua atabadirika.
Asaiv unatakiwa kuwakujuzia sana na mambo yanayomuhusu huyo mwanadada. Jaribu kujikeep busy na mambo yako ya kila siku kama ndo alikuwa company yako kubwa. Jaribu kutafuta company mpya ambayo haitakuwa na mapenzi ya kimahusiano ya kimapenzi ndani yake.

Hili linaumiza ila huyo mwanamke hakufai jaribu kuilazimisha mind yako ifanye mengine , maana ukiendelea kumfuta utaumia zaid.
MIND yako ndo dawa tosha juu ya kuwa huru na hichi kichaka kipya ulichopitishwa,Anza kujiaminisha kuanzia sasa hauko vile unafikiri uko(naamaanisha wewe ulivyo nizaid ya huu muda unaopitia)"Jaribu kufanya self observation and allow yourself to understand what you are witnessing within you instead of being dominated or devastated by it, there is no greater power for self change then self observation because this new inner vision alone can provide you with true self knowledge and self freedom, kazi kwako mkuu"
Kuna wakati Niliwahi kuwakatika kipind kama hicho unachokipitia mkuu,


POLE SANA MKUU utakuwa sawa tu hivi karibuni.
SONG BY PASSENGER
Wrong direction
When I was a kid, the things I did were hidden under the grid
Young and naive, I never believed that love could be so well hid
With regret I'm willing to bet, and say the older you get
It gets harder to forgive and harder to forget
It gets under your shirt like a dagger at work
The first cut is the deepest but the rest still flipping hurt
You build your heart of plastic
Get cynical and sarcastic
And end up in the corner on your own
'Cos I'd love to feel love but I can't stand the rejection
I hide behind my jokes as a form of protection
I thought I was close but under further inspection
It seems I've been running in the wrong direction
Oh no
So what's the point in getting your hopes up
When all you're ever getting is choked up
When you're coked up
And can't remember the reason why you broke up
You call her in the morning
When you're coming down and falling
Like an old man on the side of the road
'Cos when you're apart you don't want to mingle
When you're together you want to be single
Ever the chase to taste the kiss of bliss
That made your heart tingle
How much greener the grass is
With those rose tinted glasses
But the butterflies they flutter by and leave us on our arses
'Cos I'd love to feel love but I can't stand the rejection
I hide behind my jokes as a form of protection
I thought I was close but under further inspection
It seems I've been running in the wrong direction, there's
Fish in the sea for me to make a selection
I'd jump in if it wasn't for my ear infection
'Cos all I want to do is try to make a connection
It seems I've been running in the wrong direction
Oh
Oh, oh, I'd love to feel love but I can't stand the rejection
I hide behind my jokes as a form of protection
I thought I was close but under further inspection
It seems I've been running in the wrong direction
I'd love to feel love but I can't stand the rejection
I hide behind my jokes as a form of protection
I thought I was close but under further inspection
It seems I've been running in the wrong direction, ohh
It seems like I'm running in the wrong direction, ohh
Seems like I'm running in the wrong direction, ohh
Well, it seems I've been running in the wrong direction, oh no
Seems I've been running in the wrong direction, oh.

Mkuu, ubarikiwe mno kwa hili..Waweza chukulia ni jambo dogo sana, lakini kwa hali niliyonayo, linanipa nguvu sana na hasahasa point ya Ineer observation kama solution muhimu.Ubarikiwe sana Chief, na Mungu aniongoze kufanyia Kazi haya


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia yamenikuta mkuu lakini mazoezi yamenisaidia sana,, in fact wangu hakunisaliti bali ana visa vingi vya kukera na kuudhi ili mradi akukomoe... Sikula, kitu pekee nilichokua nakiwaza ni kulala tu napo hapo n mawazo usingizi hakuna, kuna muda hadi nilijichukia. Lakini jamaa zangu walivonibeba tu uwanjani siku ya kwanza, ya pili 3 nikawa nimepona.. Nilopokua mwenyewe kama mazingira hayaruhusu kutoka nilikua nashinda sana you tube naangalia comedy, kina joti, jaymond, chruchill shows au nacheza zangu game kwenye pc, pes au fifa kiukweli ilinisaidia sana sana hasa hizo komedi za you tube, yan nakua nimenuna lakn mtu anakuchekesha unajikuta umecheka, na stress zinapungua mwisho w siku zinaisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Mazoezi nimepanga kuanza this weekend, I am sure yatanisaidia pia..

Nashukuru kwa maoni ya kujiKeep busy na issue zingine kama Comedy, will try that too Chief


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samehe na Sahau, japo inahitaji moyo kusahau, I can feel your pain, pia imeshawahi kunitokea kitambo.....baada ya siku kadhaa utasahau!

Usijaribu kurudiana naye, kata kabisa mawasiliano, futa namba yake, ondoa kila kile kitachofanya umkumbuke........

Mwanaume akianza Mahusiano ya nje ni rahisi kuacha but Mwanamke akiaanza Mahusiano ya nje hawezi kuacha unless Mwanaume aamue kumwacha!

Ndo maana Wanaume wengi akigundua Mke/Mchumba ana Mahusiano ya nje, anamwacha coz anajua hawezi kuishia hapo + Magonjwa!

Let her go please....! Be a Man.

It’s hard truth Mkuu, nashukuru I must go on no matter what, my GOD help me please


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mwi mwenyew hiyo hali nilishakutana nayo ila niliweza kuihandle mi nilikuwa napiga bao hadi nane (usiku kucha) anakwambia kaenjoy mpk basi,baada ya siku ukishika simu yake unakuta jana kagawa mzigo wakati juzi usiku kaikeshea, ushauli wangu kaa mbali nae jichanganye na watu na jaribu kumsahau kabisa ban vitu vyake vyote futa contact zake mpka kichwani coz najua unazo kichwani na tafuta marafiki wengine wakike jichanganye nao im sure utarecover kwa muda mfupi
 
Wakubwa, Salamu!

Kama wiki 2 zilizopita, nilizifuma meseji za Kimapenzi Kwenye simu ya Mpenzi wangu niliyenaye kwa miaka miwili sasa.

Simu yenyewe nilimpa mwenyewe na akaiangusha hivyo nikasema nipe nikakutengenezee, baada ya kutengeneza ndipo nikakuta meseji za kimahaba tofauti tofauti kwa zaidi ya wanaume 15.

Zaidi Amelala na wanaume kama wawili Kati Yao na zipo meseji anawashukuru kabisa kwa KUMRIDHISHA..

Katika mahusiano yetu, nimewahi kuDO naye kama mara 15 na zaidi hivi na mara karibu zote hizi mtoto aliridhika na Show niliyojitahidi kumpa ili afurahi.

Pia nimemtafutia Kazi za NGO kama tatu hivi na katika hizo, anatoka na Maboss wawili kutoka ofisi mojawapo katika hizo hizo ambazo nimemtafutia Kazi..

Wanaume kama wawili Katika hao ambao nimefanikiwa kuona meseji zao, ni wana uwezo wao na magari pia na labda inaweza kuwa tamaa tu ya mali na pesa, lakini vipi kuhusu hao wengine?

Sio siri, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nampenda yule msichana na alivyokuwa mpole, nilishindwa kula kwa siku tatu nikinywa maji na juice tu na mawazo tele na Kazi zangu nikishindwa kufanya.

Hata nilipojaribu kumtafuta kuwa tuzungumze, alinijibu kwamba I Don’t deserve you na tuachane tu then akarudi ndani kwake na kufunga mlango maana ilikuwa nimemfuata kwake.

Nimejisikia vibaya mno na kuhisi labda kuna mahali nimekosea lakini naona hakuna na wala sijawahi kuhisi hayo kwa muda wote huo.

Kiukweli nimejilazimisha kumsahau na naona kama nashindwa Mpaka nafikiria kwenda kumuona Mwanasaikolojia anisaidie maana imekuwa ni ghafla sana na ukizingatia msichana nilimpenda sana.

Hivyo, naamini wapo watakaokuwa wamewahi kukutana na issue kama yangu (Naomba kejeli na utani upungue maana nahitaji kusaidika) Je, mlifanya nini kukubaliana na hali hii? Mlitumia mbinu gani?

Tafadhali naombeni mnisaidie na pengine kumsaidia mwingine mwenye issue kama yangu..

Natanguliza Shukrani na Mbarikiwe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi yalinikuta kama yako nilimdukua mamalao WhatsApp ili nijiridhishe kama na mimi napendwa au nadangwa maana nilikuwa nmezama huku najiona(dem alikuwa pini kwa uzuri tu ma ex wangu wote wakasome), relation ilikua na miaka mitatu.
Nilichokikuta huko WhatsApp kumbe tupo wanaume nane, watano tunapiga, wawili wameshikishwa pembe, mmoja anatongoza ila anaelekea kukubaliwa.

Nilimpiga chini huku nampenda ndani ya siku tatu tu nikawa nmekonda nika lose 12.4kg
Tofauti na wewe, mimi huyo dem alikua ananiomba msamaha turudiane, kwa kuwa nilikua naendelea kukonda (nilimpenda haina mfano) ili kujali afya yangu ilibidi nimsamehe tukarudiana ila nina moja kichwani ninenepe kidogo huku najipanga kumtoa moyoni totally.
Baada ya mwezi mmoja ndo tukaachana official (sikuumia maana muda wote nilikua najipanga na nilifanikiwa kumtoa moyoni)

Kuna uzi mmoja ulikua unaniondolea stress naamini utakusaidia
"uzi kutupia picha yoyote ya dem mkali"
Anza na page ya kwanza mpaka ya mwisho bila ku skip itakusaidia.
 
Unachohitaji nikukubaliana na hali halisi tu then keep urself busy na sikushauri pia uharakie kupata mwingine lakini kama unafriends wa kawaida wa kike wakupe kampan kwangu mm huwa inasaidia sana nkiwa na rafiki wa kike ambaye sio mpenzi wangu nkiwa nawe pale napotemana na mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, jitahidi tu kujikeep busy na mambo yako japo ni ngumu lkn baada ya mda utaona ni kawaida tu.

For sure Mimi nilishawahi kuachwa hyo kikatili, nilichokua nafanya ni kulia lia tu kama jinga,ila baadaye nikaona ujinga huu,nikamove on. Ila kuachwa/kusalitiwa kunaumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto mzuri kaka wewe unaachwa , kweli dhambi nyingine hazisameheki
Pole sana mkuu, jitahidi tu kujikeep busy na mambo yako japo ni ngumu lkn baada ya mda utaona ni kawaida tu.

For sure Mimi nilishawahi kuachwa hyo kikatili, nilichokua nafanya ni kulia lia tu kama jinga,ila baadaye nikaona ujinga huu,nikamove on. Ila kuachwa/kusalitiwa kunaumaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom