Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Nakumbuka zamani(miaka michache tu iliyo pita) sikuwa mkubwa sana na wala sikuwa mdogo sana, kuna msichana alikuja kwetu , kipindi hicho nilikiwa nakaa mkoani, basi yeye alitoka Dar, na alikuwa mzuri tuu kiasi kwamba mwanaume yeyote angependa kuwa naye,yule dada alinipenda kweli kweli tena bila sababu, (labda kwa sababu nilikuwa kijana wa mkoani), mpaka kuna vijana wengine kitaa wakawa wana nichukia kwa kuchoropoa ndege wao, basi na mimi huwa nina tabia ya kumpenda anaye nipenda, nami nika mpenda tena saaanaa, yeye elimu ilimshinda(japo alikuwa na akili sana za kawaida) ila mimi nilikuwa bado nasoma
sasa nakumbuka akaanza kujisogeza nyumbani kwa mama, anakuja anamsaidia mama kazi, lakini ilitokea tuu mama hakumkubali toka siku ya kwanza baadaye akawa akija hasa mimi nikiwa shule mama ana mwambia nenda tuu kwenu hatuna cha kufanya hapa na mengine mengi, Pia nikirudi hom likizo mama akawa ana niwakia kabisa kuwa hamtaki mtoto kama huyo na hampendi, tena kama wasichana wamenishinda ni bora nika somee u padri tuu... Ki ufupi kwa mwendo huo ikabidi nimwache kwa sababu mi nikiwa na mtu huwa napenda kuweka plani za muda mrefu labda itokee shida tuu, na Lakini nikiangalia mapoyoyo ambao niliwapata baada ya huyo kwa kweli ni shida tupu, mpaka leo huwa nakumbuka kuwa mama alifanya nika mwacha mtu wa maana na liye nipenda kwa jinsi nilivo, tena kwa dhati (japo huwa simlaumu mama wala sijawahi mwambia lolote)
Nakumbuka siku tumekubaliana tuachane aliniambia "najua una niacha kwa sababu ya mama yako" japo nilijitahidi kumsitiri mama yangu, ila huo ndo ulikuwa ukweli, basi huwa sisahau mpaka kesho
*Mwisho wa siku huwa nasema sijui ninge endelea naye tuu!!?_ au pengine ndo mipango ya huyo wanaye dai ndiye Mungu!!, saa nyingine nahisi mama kama alikuwa dikteta kiaina, saa nyingine ndo naona labda ndo wazazi wa kiafrika huwa hawakosei!!!
*ni kama sjielewi elewi hivi! Ki ukweli huwa sipati jibu